Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Mmmmh! Kweli maaana mpaka sasa nategemea spite ili tupate pesa za viroba wakati wa kampeni
 
breaking news;jina la lowasa limeondolewa!na kwa sasa naskia ameanza kujsikia vibaya mno

Tatizo alishajiaminisha kuwa lazima apite. Kama hivyo ndivyo, huu mchakato wote ungekuwa na kazi gani?

Kama hayo ni ya kweli, itabidi kambi yake ihamie kwa mtu anayemwona nafuu kwake katika hao waliopita. Kwa maana hiyo anaweza kuamua nani apite na nani akose hapo
 
Jamani utabiri wa Maalim Hassan Hussein Yahaya, unatimia. Kuwa Rais atakuwa na mchanganyiko wa dini mbili. Had wakati huu nasema kwa herufi kubwa JAJI OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
 
Khaa!! Yaani masai moja tu ndiyo anasababisha chama kisitawalike?? Acheni utani bana
 
Ikiwa bado chama cha Mapinduzi kikiendelea na vikao vyake mjini Dodoma, kikao cha kamati ya maadili na usalama ya chama kimefuta tuhuma zote zilizowasishwa mbele yake dhidi ya wagombea.

Hili limefanyika ili kuongeza mshikamano ndani ya chama. Aidha kikao hicho kimependekeza majina yote yaende Kamati kuu na kuamuliwa majina matano yapatikane kwa mtindo wa kupiga kura.

Hili limependekezwa kufanyika ili kuondoa uwezekano wa mgombea yoyote kukata rufaa. Itakumbukwa kuwa katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM alishasema jina lokikatwa hakuna rufaa.

Kuwa wa kwanza kuhabarika
 
Duuh hivi kwa attention yote hii kwa wa Tz kinachojili huko Dom kuna yoyote ambaye bado anaamini Rais ajaye atatoka UKAWA? Endapo CCM watakuwa kitu kimoja baada ya mchakato huu naamini bado wana nafasi kubwa ya kutoa Rais ajaye. My opinion.
 
Kikao cha maadil na usalama chini ya Mwenyekiti wake Ndg Jakaya Mrisho Kikwete kilichokutana katika ukumbi wa whitehouse kimemaliza hivi punde.

Kikao hicho kilichokuwa na ajenda moja tu ya kujadili na kupitisha majina ya wagombea watano watakaopitishwa na NEC ya CCM baadae leo.

Taarifa iliyopo ni kuwa Jaji Augustino Ramadhani, Mhe Pinda, Bernard Membe, prof Mwandosya pamoja na mzee Wassira ndio waliopitishwa na kikao hicho.

Kikao cha Kamati Kuu kitakachoanza saa kumi na moja kitajadili majina matano hayo..
Naona wazee wa kubet kama kawaida wanazidi kuweka mzigo.
 
Alikatwa mapema sana huyo tena kwa jeuri ili tuone panavyochimbika,
 
Back
Top Bottom