Basso seleman
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 432
- 118
bora nkasome hadithi tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
breaking news;jina la lowasa limeondolewa!na kwa sasa naskia ameanza kujsikia vibaya mno
Niunganishe na mimi kwa hyo mtu
Unataka ugegede mke wa mwenzio wewe??
Khaa!! Yaani masai moja tu ndiyo anasababisha chama kisitawalike?? Acheni utani bana
Naona wazee wa kubet kama kawaida wanazidi kuweka mzigo.Kikao cha maadil na usalama chini ya Mwenyekiti wake Ndg Jakaya Mrisho Kikwete kilichokutana katika ukumbi wa whitehouse kimemaliza hivi punde.
Kikao hicho kilichokuwa na ajenda moja tu ya kujadili na kupitisha majina ya wagombea watano watakaopitishwa na NEC ya CCM baadae leo.
Taarifa iliyopo ni kuwa Jaji Augustino Ramadhani, Mhe Pinda, Bernard Membe, prof Mwandosya pamoja na mzee Wassira ndio waliopitishwa na kikao hicho.
Kikao cha Kamati Kuu kitakachoanza saa kumi na moja kitajadili majina matano hayo..