Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kwani wewe unajua akaunti zote za fisadi Lowasa? Kwani fisadi kuna anachoshindwa?Kamandaa na wewe unaamini kweli hiyo account ni ya Lowassa?
Hujui Unachoongea Wewe Na Usitake Kuchukua Umaarufu Kwa Kutaka Kubishana Na Mimi Na Ni Vema Kama Hujui Nini Kinaendelea Ndani Ya Kikao Ukae Kimya Tukujuze. Na Nilitaka Nimwage Kila Kitu Hadharani Ili Watu Humu Wajue Lakini Umeshaniudhi Na Siwataji Tena Hao 5 Bora Waliopenya Na Kwa Taarifa Yako Majina Yao Ninao Na Mpaka Watakaopitishwa 3 Bora Baadae Nawajua. Utabaki Hivyo Hivyo POPOMA Wewe! Umewaponza Wenzio Katika Kujua Hayo Majina Na Wape Wewe Basi Hayo Unayoyajua!
6.Makufuli hafai...aliuza nyumba za serikali na kujenga nyingine, akiingia Ikulu ataiuza aseme wajenge ingine!!!3.Pinda hafai...hafai...hafai...hafai....kabisa wala sihitaji kuweka ushahidi kila kitu kiko wazi
5.January arudi shule tu mwizi + familia yake tu haiwezi ndio ataweza nchi.....hafai
5.Mwanamke big No!! Atakuwa kilemba tu kama bibi kiroboto
Mkuu, achana na huyo jamaa. Wewe tupe hiyo tano bora yako then tulinganishe na yatakayotangazwa rasmi
Yeah. Coz anajua kuwa litakalompata hakuna daktari hapa nchini wa kumnusuruLowasa daktari wake yuko dodoma
haa haa endelea kuota mkuu. jamaa NEC na mkutano mkuu ndo kwao.
Kaka Ritz hilo ni lazima lifanyike, kwani jina la mtu atakaye chaguliwa kutoka CCM litakapotoka tu na ndio UKAWA wanapojipanga jinsi ya kushambulia, all in all CCM patachimba na mwisho wake upo wazi kabisaCha kufurahisha zaidi UKAWA ndiyo wamejaa kwenye huu uzi kufuatilia mgombea wa CCM.
Zwazwa ndo wewe mkuuHahaha...mkuu huyu jamaa sijui zwazwa...anadanganya alafu anasahau upesi sana..😀😀
Gari la fisadi lina kila kitu. ICU itakuwa kwenye gari lake na mochware ni hiyo hiyo gari yake
mwekundu
Lowasa 5 hakosi
UKAWA wanakesha kufuatilia mchakato wa CCM wamesahau kabisa kama kwao wana mgombea urais.