Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,810
UKAWA wanakesha kufuatilia mchakato wa CCM wamesahau kabisa kama kwao wana mgombea urais.
Dr slaa yupo anasubir hawa mafisad wasumbuane aje ampe mtu knockout
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UKAWA wanakesha kufuatilia mchakato wa CCM wamesahau kabisa kama kwao wana mgombea urais.
mkuu hiyo nyagi taratibu nayo maana utaua mtoto wa mtu
Chinja fisadi hilo, safi sana. At least CCM sasa wanaweza kusimama mbele yetu
Kamandaa na wewe unaamini kweli hiyo account ni ya Lowassa?
Ukawa wanaombea Goli la mkono la Nape ccm wampitishe Membe ambaye ni dhaifu sana ili Ukawa wapate kuingia ikulu kiulaini .
Kwani Wewe Mkoroshokigoli Sifa Za Mnafiki Huzijui? Yeye Si Ameshatoa Hadi Uzi Wake Kuwa Lowassa Kakatwa Sasa Ananiuliza Nini Tena?
Jaji Augustino ramadhani,
John pombe magufuli,
Mark mwandosya,
Asha roze migiro,
Pinda peter mizengo
ayawiiii ayawiiiii yamekuwa ndani ya dodoma kama huamini subiri rasmi yatangazwe na chama halafu muamini but ndio rasmi yanayotoka mda wowote wana jukwaa
mkuu mnakamilisha saa ngap maana watu wanataka kujua je amekatwa au hajakatwa?wakuu hapa dom tupo kwenye vikao vya ndani ndio tunakamilisha.
Hujui Unachoongea Wewe Na Usitake Kuchukua Umaarufu Kwa Kutaka Kubishana Na Mimi Na Ni Vema Kama Hujui Nini Kinaendelea Ndani Ya Kikao Ukae Kimya Tukujuze. Na Nilitaka Nimwage Kila Kitu Hadharani Ili Watu Humu Wajue Lakini Umeshaniudhi Na Siwataji Tena Hao 5 Bora Waliopenya Na Kwa Taarifa Yako Majina Yao Ninao Na Mpaka Watakaopitishwa 3 Bora Baadae Nawajua. Utabaki Hivyo Hivyo POPOMA Wewe! Umewaponza Wenzio Katika Kujua Hayo Majina Na Wape Wewe Basi Hayo Unayoyajua!