mfungwa
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 1,291
- 342
Lowassa
Ramadhani
Migiro
mwandosya
Pinda
Bila makongoro sio Ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lowassa
Ramadhani
Migiro
mwandosya
Pinda
Magufuli alikuwapo serikali ya Nyarere??
umeona eh
Namba 1 ndo rais
mkuu hiyo futari bado tuu?Wakuu habari,
Ntakua nawaletea Update ya kile kinachojiri kwenye Vikao vya CCM vinavyoendelea Dodoma. Ntahakikisha kila kitu naweka hapa.
Karibuni sana.
===================
Updates;
1. Update;
Sasa mchakato unaanza rasmi, Wajumbe kamati ya Maadili wanaingia Ukumbini, CC itafuata, haijajulikana kama na NEC itafanyika leo, itategemea na muda utakao tumika na vikao viwili hivyo.
2.Update
Rais Kikwete ameingia Ukumbini muda huu
3. Update
Kikao cha Usalama na maadili kinaendelea. Hiki hata kikiisha hakina briefing. kama kawaida, Ulinzi umeimarishwa na state
4.Update
Wakuu Kuweka Updates sio lahisi kama mnavyodhani sababu ulinzi ni mkali na hakuna aliyeruhusiwa kuingia na simu. Kumbuka hii ni kamati ya maadili, hivyo kuweni wavumilivu. Kikao kinaendelea.
5.Update 14:46
Kamati ya maadili imemaliza kazi yake, sasa ni zamu ya CC kuingia, lakini Rais Kikwete katoka, Kikao kitaanza akirudi.
6. Update 16:00
Wajumbe wa CC ndo wameingia sasa hivi, watapewa majina matano na kamati ya maadili ya Wagombea urais.
7.Update 16:55
Team inayomuunga mkono Edward Lowassa zaidi ya watu 200, wamekutana mchana huu Katika Ukumbi wa St. Gasper, kuweka msimamo iwapo huyo wanayemtaka hatakuwemo kwenye Top 5 ya Wagombea waliopitishwa na kamati ya maadili.
8.Update 18:50
CC imemaliza Kikao chake, Nape amesema majina matano yaliyopendekezwa yatatolewa baada ya Kufuturu.
lowasa akipita tu napea aanze kutafuta kazi kwingine
Wee waache wajifurahishe tuu,Lowasa ndio mpango wa Allah.
mkuu hiyo futari bado tuu?
Huyu jamaa amewekeza na ana kundi kubwa tena lenye nguvu kubwa chamani
Leo konyagi zimepata wateja sana, kila bar nkiingia naambiwa stock imekata.
Sijui ninywe nini!
rama, el, pnd,mako, rs,
Nadhani na watanzani wanachukulia mgombea wa ccm kama vile ndio Rais, kwanini?? Kama ccm anang'oka October waacheni na mambo yao. Au watz bado tunataka mafisadi???