Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Wadau mmeshaambiwa, majina matano yatajulikana kesho yatakapopelekwa kwenye kikao cha NEC, so taarifa zingine ni uongo jamani, tuwe Makini na kukumbuka kuna sheria ya makosa ya mtandao, tukale tuisubiri kesho nayo siku, mwisho wa siku atajulikana tu. Mnayetaka AKATWE, atakatwa tu, eenh, maana sasa Hamna namna

Hatulali tunataka MKONO sivyo mtuache tijidanganye turidhike
 
huku jmani kingunge na madabida niwanted atakaefanikiwa hat kupiga Kofi shavu lammoja wao ameahidiwa reward kubwa na jamii
 
we utaumia matumbo sana ,tunasubiri kumjenga kisyphologia ili tukimkata asipata presha mkuu,lakin lazima tumkate iwe isiwe..maana hakuna namna sasa lazima akatwa..
 
Nimeamin el ndo chama na chama ni yy hakuna wa kumgusa.,,,,gusa unase, cku mbil tano nafuu haitok kulikon??
 
Nimepitia tovuti moja
Inayoheshimika wanadai kikao

kinaendelea na matokeo ya 5;nafuu yatatolewa kesho!!!

Kama ni kweli matokeo ya 5nafuu yAtatolewa
Basi Nuru na Giza vimekutana !!!!
:
Hata hivyo sitarajii kumpa yeyote kura yangu,,!

Natia zangu UKAWA !!!
umbea tu ndio unakuwek macho mpaka sasa
 
Back
Top Bottom