Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Umeharibu uliposema wapo kwenye mchakato wa kutafuta 3 bora wakati kikao kitakachofanya hivyo hakifanyiiki sasa,hii ndio inafanya habari yako nzima kuwa porojo

Basi Kama Sasa Hawafanyi Hicho Kikao Watakuwa Wanakuzalisha. Kwahiyo Waandishi Waliokaa Hadi Sasa Hapo Ukimbini Wanatambika au?
 
Confirmed: Kikao kimemalizika na wajumbe wametawanyika, hakuna taarifa zozote za majina matano. Tusubiri msemaji wa chama.
 
Confirmed: Kikao kimemalizika na wajumbe wametawanyika, hakuna taarifa zozote za majina matano. Tusubiri msemaji wa chama.

Nape katamka kuwa baadaye kukikucha ndipo watataja majina hayo matano
 
Ili Kukwepa watu kutengeneza makundi kuwa fulani kaondolewa Watawatangazia hapohapo hiyo kesho duuh Interesting Hakuna kujipanga!
 
Never mind of this language bro. I went to Saint Kayumba. Will that information satisfy you? Next time dont use capital letters at the beggining of every word you type.

Go And Learn The Meaning Of Trademark Then Come Back To Me Quickly So That We Can Now Argue Logically. Otherwise I Just Advice You To Keep Your Pig Mouth Shut.
 
Nape na uropokaji wake ule wa viroba anauwezo wa kukaa macho mpaka saa hizi ? Lazima amesinzia au kikao kimeahirishwa mpaka baadae tukimaliza daku.
 
Nchimbi na Sofia wamelianzisha tayari inaonesha Lowasa atakuwa katolewa na ndo maana imekuwa ngumu hadi sasa
 
Kikao kimeisha.mweshimiwa nchimbi anasikitika haki haikufuatwa.anasema nape atatangaza majina matatu yaliyopitishwa. Kiukweli bwana Lowassa amepigwa chini. Membe Ana nafasi kubwa ya kupitishwa kuwa rais. Nchimbi amelalamika Sana.
 
Nape katamka kuwa baadaye kukikucha ndipo watataja majina hayo matano

Hili ni pigo kwa team lowassa maana hapo kesho kunauwezekano mkubwa hayo majina matano yasitajwe yakapelekwa moja kwa moja kwenye halimshauri kuu ambapo ni majina matatu yatasomwa.
 
Hii si shule ya kiingereza, kama umeelewa maudhui topa hoja na si kupanua mdomo wako u--kao kwa kupoteza muda wako na mambo ya kiingereza. Siku nyingine fikiri kidogo kabla ya kumwaga wino. Umeelewa au ndio kichwa chako ki-gu-mu.

Ubongo Wako Unahitaji Kuchambishwa.
 
Go And Learn The Meaning Of Trademark Then Come Back To Me Quickly So That We Can Now Argue Logically. Otherwise I Just Advice You To Keep Your Pig Mouth Shut.

Thats not proffesional buddy. I didnt come here to spit shit words so I give you the ground.
 
I Just Admire Your English BUT I am very Keen To Know Which School Did You Go To And If Possible To Know Which Teacher Taught You This Kind Of English Otherwise I Appreciate Your Compliment Towards Me And May You Please Keep On Trusting Me.

watu wale wale tu na ujuaji ule ule.. mkuu punguzaga sifa sifa za kitoto bana au ukishajua post zako hua na warembo wanazisoma ndo huishi kuvaibreti??!
 
Mwaka wetu huu TEAM ENL

hahahaha familya ya mkwere haimtak kabisa..mkwere anataka akabidhi chama kwa mtu ambaye ataendelea kufaidika na mfumo,kwa kuwa wanaccm wanamkubaliaga kila kitu usishangae kuona mtu dhaifu km mkwere mwenyewe,maana timu ya mkwere iliochukua fom wote ni dhaifu,mfn membe,bilali,migiro,makamba,,pinda, sasa hawa si utumbo mtupu
 
Kikao kimeisha.mweshimiwa nchimbi anasikitika haki haikufuatwa.anasema nape atatangaza majina matatu yaliyopitishwa. Kiukweli bwana Lowassa amepigwa chini. Membe Ana nafasi kubwa ya kupitishwa kuwa rais. Nchimbi amelalamika Sana.

Nchimbi na Sofia wamelianzisha tayari inaonesha Lowasa atakuwa katolewa na ndo maana imekuwa ngumu hadi sasa

hii habari nimeskia clouds fm wakitangaza ayo pia, inaelekea ni kweli mamvi kabaki
 
Back
Top Bottom