Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Yaani kwenye Kamati Kuu kuna watu wanaamini Makamba Jnr anaweza kuwa Rais wa Tanzania?

Mimi nadhani huu ni mkakati wa Kamati kuu kutaka Membe ateuliwe kuwa mgombea kwa sababu kama wangeweka wagombea ambao wana ushindani, sidhani kama Membe angefika hata kwenye Mkutano Mkuu.

CHICHIEMu wametufanya sie mazoba kwa kweli. Yani unaona kabisa aina ya wagombea wanayemtaka, na nia ya😵bviously sasa liko wazi kutakuwa na mwanamke kwenye tiketi yao, obviously iko wazi Hakutakuwa na mzanzibari, kwani wamemchukua mzanzibari asiyejulikana kuliko wote(ingawa,niwe muwazi kuwa Amina, is a remarkable lady, with the highest dignity).

Yani hapo hii ngoma ni kati ya magufuli na Membe, ukizingatia kuwa Magufuli uzoefu wa mambo ya nje ni nukta nukta sifuri, hivyo basi chaguo la jamaa ni Membe.

Kutokana na Upepo utakavyokuwa Asha can as well be president, while magufuli is now the strongest contender for Next PM should he lose the nomination. Sidhani akikosa atafaa kuwa Makamu.

Makamba,well,it says a lot when a young nominee is chosen in favour of men as qualified as Ramadhani, just for the mere reason he is young. Lowassa with all his shortcomings is 100 times better than Makamba any time of the day...,
 
wala siamini, yaani hamna mkristo hata mmoja, waislam wanne na mpagani mmoja.

wewe jamaa ni mdini sana...ninyi ndiyo huwa mizigo kwa taifa! na ni rahisi sana mpatapo vyeo kuiingiza nchi kwenye machafuko! shame on you...
 
mkuu yupo kwenye tano,lowasa kakatwa

Natambua hilo kaka...

Namaanisha ili CCM sasa iepuke kuwa chama kikuu cha upinzani haina budi kupitisha jina la Magufuli kuwa mgombea Urais...

Magufuli ndiye pekee hapo anayekubalika na Watanzania...
 
Nimeshangazwa sana tano bora ya CCM, yaani January Makamba anaonekana ni bora zaidi ya Mwakyembe?

Yaani kuna watu hapa duniani wanaamini kuwa January anaweza kuwa raisi lakini sio Mwakyembe wala Muhongo na wengineo, very interesting.

Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

mkuu mkwere hatak mtu anaemzid akili awe mwenyekit wa ccm kawateua wale anaowahimili..naona anataka maslah yake yasiharibiwe
 
Last edited by a moderator:
Kwa hakika nimefurahishwa sana na CCM, kuna wagombea wawili nilikuwa sitaki wapite na hawakupita.

Si siri, wa kwanza Nyerere wa pili Lowasa.

Nyerere kwa sababu hafai kuongoza hata nyumba kumi wacha kuwa Rais na Lowasa kwa sababu ni mgonjwa.

Hao waliobaki, yeyote atakaepitishwa ntamkubali kwa roho moja.

Inaonekana Makongoro aliwekwa kwa kazi maalumu kuyatamka yale ambayo wazee walishindwa kuyatamka, na ku-resonate kwa mwananchi wa kawaida kuwa CCM imewachoka wafanyabiashara na mafisadi, na inataka clean slate. Angeyasema Mkapa haya au Karume, watu wasingeelewa. Makongoro did a great job as an attack front.

Nadhani kuna kanafasi kwenye chama chenu ameandaliwa, aliifanya kazi yake kwa ufanisi kwa kweli.
 
CHICHIEMu wametufanya sie mazoba kwa kweli. Yani unaona kabisa aina ya wagombea wanayemtaka, na nia ya😵bviously sasa liko wazi kutakuwa na mwanamke kwenye tiketi yao, obviously iko wazi Hakutakuwa na mzanzibari, kwani wamemchukua mzanzibari asiyejulikana kuliko wote(ingawa,niwe muwazi kuwa Amina, is a remarkable lady, with the highest dignity).

Yani hapo hii ngoma ni kati ya magufuli na Membe, ukizingatia kuwa Magufuli uzoefu wa mambo ya nje ni nukta nukta sifuri, hivyo basi chaguo la jamaa ni Membe.

Kutokana na Upepo utakavyokuwa Asha can as well be president, while magufuli is now the strongest contender for Next PM should he lose the nomination. Sidhani akikosa atafaa kuwa Makamu.

Makamba,well,it says a lot when a young nominee is chosen in favour of men as qualified as Ramadhani, just for the mere reason he is young. Lowassa with all his shortcomings is 100 times better than Makamba any time of the day...,

Kimweri wala usipoteze muda kujua nani hapo atakuwa mshindi, Mshindi ni Benard Membe wengine ni wasindikizaji wake. Top 3 tegemea kuwaona Membe, Makamba, Magufuri.
 
Last edited by a moderator:
Huyu mtu huyu
 
Attachments

  • 1436573485204.jpg
    1436573485204.jpg
    45.7 KB · Views: 466
Kwa hakika nimefurahishwa sana na CCM, kuna wagombea wawili nilikuwa sitaki wapite na hawakupita.

Si siri, wa kwanza Nyerere wa pili Lowasa.

Nyerere kwa sababu hafai kuongoza hata nyumba kumi wacha kuwa Rais na Lowasa kwa sababu ni mgonjwa.

Hao waliobaki, yeyote atakaepitishwa ntamkubali kwa roho moja.

utawakubali kina john weye
 
...unawaza kuchimba watu washafukia zamaaani....
 
Natambua hilo kaka...

Namaanisha ili CCM sasa iepuke kuwa chama kikuu cha upinzani haina budi kupitisha jina la Magufuli kuwa mgombea Urais...

Magufuli ndiye pekee hapo anayekubalika na Watanzania...
nimehisi mpaka hapa ukawa watasumbua,kuhusu magufuli lolote laweza tokea,nani alijua lowasa watamkata
 
Back
Top Bottom