Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

alipo jiuzuru wengi tuliamini ndo kaisha kabisacha ajabu amekuja ibuka kuwa mtu mkuu katika vyombo vya habarfi kupeperusha bendera ya ccm kwenye uchaguzi japo kakatwa mimi bado namuogopa mtu huyu kama ukoma...huwezi kumtabiri mtu huyu. yupo kama Hitler-the fuhrer, tumpe muda kwanza tusije shtukia kaibuka na nguvu ya aJABU
 
Kwa vyovyote vile ccm wanaingia tena ikulu na ugumu wa maisha utakuwa mara mbili ya hali ilivyo kwa sasa!
 
Makamba nae ni presidential material? Kwa kweli ubabaishaji umekuwa ni kila mahali sasa!
 
Kama mpango wa Kikwete ni kumpitisha Membe atakuwa amefanya yale yaliyofanywa na Moi enzi za KANU huko Kenya kulazimisha Uhuru agombee na watu wakaungana wakambwaga. Kuna anayependa ujinga? Mimi sikuwa na Mgombea CCM make si mpenzi wa hicho chama lakini Mr. dhaifu amuache Mr. dhaifu mwenzie siliafiki ata kidogo
 
Haya bwana, ni mambo ya mitandao haya kila mtu anaanza kusema lake, sasa wewe unasema uko jikoni pengine unapika chai ya watoto wako. Mwingine atasema mimi niko chumbani ndo nina taafifa za uhakika. Kwa ufupi tumsubiri Nape tu wengine mnajitafutia kesi ya jinai bure. Unajua kutoa taarifa za mtu au taasisi fulani kinyume na ukweli tena bila ridhaa ya mhusika, ina mashiko kisheria. So kuweni makini wadogo zangu
 
Hijawahi kutokea, mbwembwe zoote, pesa zoote na nguvu zoote alizotumia mh Edward lowasa na sasa ametolewa nje!

Janja ya lowasa ilionekana toka zamani alijifanya kuwa na upendo kwa makundi mengi ya kijamii ilhali akijulikana dhahiri kuwa hafai ktk urais.

Nimefurahi sana anguko la ufalme huu wa Giza CCM!

ImageUploadedByJamiiForums1436589264.264024.jpg
 
Sijui mimi ni mnafiki. Sikuwahi kuwa shabiki wa EL lkn kwa tano bora hii mara laki moja EL. Wamaana hapo ni Magufuli tuu.

Sio ushabiki Membe atapenya ana support ya mkuu wa kaya.Uchaguzi ndani ya CCM Umegeuka family matters kama ilivyokuwa mwaka 2010.
 
if memb na jk they are surely related baasi they share the same genes from their mother or father, then expect uozo uliotokea 10yrs ago utatokea tena next 5 years,"we bury our country with our own hands"
GENES ARE STRONG
 
Hijawahi kutokea, mbwembwe zoote, pesa zoote na nguvu zoote alizotumia mh Edward lowasa na sasa ametolewa nje!

Janja ya lowasa ilionekana toka zamani alijifanya kuwa na upendo kwa makundi mengi ya kijamii ilhali akijulikana dhahiri kuwa hafai ktk urais.

Nimefurahi sana anguko la ufalme huu wa Giza CCM!

Kama ni kweli, hii ni kuonyesha ni jinsi gani CCM imekomaa kisiasa na si kubabaisha. Na kwa sababu hiyo basi Nitaipigia KURA CCM
 
Back
Top Bottom