Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,544
- 2,169
Pole Mh. Lowasa.
Pole? We umechanganyikiwa. Tulilijua hili. Wacha tufungukie gilbrata pipe. Tunaua ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Mh. Lowasa.
Na yule aliyemfananisha Edo na mtume mohamad.
Haya mabasi yatapelekwa wapi sasa?
Endelea kujipa matumaini..wakati tulio jikoni nimewapa tulichoivisha
Hijawahi kutokea, mbwembwe zoote, pesa zoote na nguvu zoote alizotumia mh Edward lowasa na sasa ametolewa nje!
Janja ya lowasa ilionekana toka zamani alijifanya kuwa na upendo kwa makundi mengi ya kijamii ilhali akijulikana dhahiri kuwa hafai ktk urais.
Nimefurahi sana anguko la ufalme huu wa Giza CCM!

Sijui mimi ni mnafiki. Sikuwahi kuwa shabiki wa EL lkn kwa tano bora hii mara laki moja EL. Wamaana hapo ni Magufuli tuu.