Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Lowassa akichezewa atawataja waliomtoa roho mjomba wake Sokoine, inasemekana sio mbali Maembe japo alitumwa tu kufanya
 
Kingunge anasema...

Kamati kuu wamepewa orodha ya wagombea na kazi yao ilikuwa ni kupitia na kutazama na kuwapima na kuwalinganisha na kisha kutoa mapendekezo...

Kamati kuu hawana madaraka ya kutoa maamuzi....!!

Huyu Mzee akili yake imeishazeeka ata hakumbuki kanuni za CCM zinasemaje
 
Cha kufurahisha UKAWA ndiyo wanapambana kuwatafutia CCM mgombea safi.

Wao wanajua lazima rahisi atoke CCM na wengine wamekiri humu na kutaja safu ya viongozi wa CCM watakaounda serikali.

Dr.Slaa kama unafuatilia huu uzi nadhani unajionea mwenyewe utaendelea kuwa rais kivuli tu.
 
Duu...
unaambiwa masai kapandisha Mori
kachamaaa mbaya....
si unajua tena mori ikipanda anavyokuwa?
 
Last edited by a moderator:
katika nchi mbalimbali afrika zilizotumia mfumo huu ktk uchaguzi mabadiliko ya vyama kuingia madalakani yamefanyika mfano Kenya, Ghana, Nigeria, Malawi.

hapo cha kujiuliza ni ile BVR machine iliyoibiwa mwanza imepelekwa wapi? ilo ndo swali la ukawa kujiuliza.

Nchi zote hizo unazotaja...hakuna nchi iliyotumia mfumo huo hadi mwisho

Mfano Kenya waliuacha mwishoni waka switch kwenye Manual

Hio concern ya BVR kuibiwa inatakiwa kufanyiwa kazi
 
Hayo uliyoandika ni hisia zako Na jinsi unavyoamini hakuna wa kumtisha m/kiti helewa yeye ni mwanajeshi, mwanadiplomasi Na mwanasiasa SIFA hizo 3 zinambeba kuwa Na mahamuzi ya busara. Na hawezi yumbishwa hilo sahau wakileta vurugu wanawekwa kapuni
 
Back
Top Bottom