DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,966
Umeongelea watanzania tulio wengi :thumbup:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasubiri sana!
Mkuu nataka Padre Slaa achukue nchi.
Kingunge anasema...
Kamati kuu wamepewa orodha ya wagombea na kazi yao ilikuwa ni kupitia na kutazama na kuwapima na kuwalinganisha na kisha kutoa mapendekezo...
Kamati kuu hawana madaraka ya kutoa maamuzi....!!
katika nchi mbalimbali afrika zilizotumia mfumo huu ktk uchaguzi mabadiliko ya vyama kuingia madalakani yamefanyika mfano Kenya, Ghana, Nigeria, Malawi.
hapo cha kujiuliza ni ile BVR machine iliyoibiwa mwanza imepelekwa wapi? ilo ndo swali la ukawa kujiuliza.
Mkuu nataka Padre Slaa achukue nchi.
Nimekuuliza swali...Hizo kura zitaitishwa katika kikao gani?
Nani atakuwa mwenyekiti wa hiko kikao hicho
Una msafisha wenzie wapo Na rufaa
safi sana mkuu umeandika kitu chenye mashiko sana!