falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
tetesi : lowassa kaanguka gafla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaaani watanzania pengine amjui mchezo mchafu uliofanyika ni kwamba
kamati kuu hupokea majina yote na kuyahakiki then kuyachagua 5
kilichotokea baadhi ya wahuni wamekwenda na majina 5 walipofika wakaambiwaaa
ati kikao kinatakiwa kuizinisha haya matatno na sio kuchagua....dk nchimbi amesema
toka ajue siasa ajawahi kuona michezo michafu ya kihuni kama kilichotokea dodoma
loh...nchi inaongozwa kijeshi hadi kwenye maslahi ya taifa,,,uwiiiii
haya wakachague na hao 3 basi walete moja ....nec wamekataa uhuni wa kamati kuuu
Nimeanzisha thread mapema kuwa jina la Lowassa limerudishwa wakaipoteza thread yanguu

Picha ni muhimu sana hizi thead zimekuwa bubu mpaka zinaboa
mpaka kesho nimesikia
Aliyeweka uzi naye kakatwaUpdates wapi nimesema kikao kimeahirishwa mnakimbiza thread.............hapa haipom mwenye kuanzisha uzi hata hatoi updates
Yaaaani watanzania pengine amjui mchezo mchafu uliofanyika ni kwamba
kamati kuu hupokea majina yote na kuyahakiki then kuyachagua 5
kilichotokea baadhi ya wahuni wamekwenda na majina 5 walipofika wakaambiwaaa
ati kikao kinatakiwa kuizinisha haya matatno na sio kuchagua....dk nchimbi amesema
toka ajue siasa ajawahi kuona michezo michafu ya kihuni kama kilichotokea dodoma
loh...nchi inaongozwa kijeshi hadi kwenye maslahi ya taifa,,,uwiiiii
haya wakachague na hao 3 basi walete moja ....nec wamekataa uhuni wa kamati kuuu
Video na audio hazikomplai ( hata jk asapoti audio hiyo?? NOOOO). BTW kwani lazima awe yeye tu bana???. KASHAKATWA!!!
Majina ya ni i?
Acha upotoshaji kuwadi wewe
Mtalia na kusaga meno kama mifisi..Yaaaani watanzania pengine amjui mchezo mchafu uliofanyika ni kwamba