Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Yaaaani watanzania pengine amjui mchezo mchafu uliofanyika ni kwamba

kamati kuu hupokea majina yote na kuyahakiki then kuyachagua 5

kilichotokea baadhi ya wahuni wamekwenda na majina 5 walipofika wakaambiwaaa

ati kikao kinatakiwa kuizinisha haya matatno na sio kuchagua....dk nchimbi amesema

toka ajue siasa ajawahi kuona michezo michafu ya kihuni kama kilichotokea dodoma

loh...nchi inaongozwa kijeshi hadi kwenye maslahi ya taifa,,,uwiiiii

haya wakachague na hao 3 basi walete moja ....nec wamekataa uhuni wa kamati kuuu

Atamkumbuka ipiana malechela huyo...
 
mpaka kesho nimesikia

Hivi Ni Kwanini Watanzania Tunapenda Mno Kuwa Wazushi Na Siyo Wafuatiliaji Wazuri Wa Mambo? Hivi Hizo Radio Na Tv Zetu YTumeziweka Tu Kama Mapambo? Chombo Kikubwa Cha Serikali Na Ambacho Ndiyo Official Broadcaster Wa Hili Tukio Zima Huku Waandishi Wake Wakiwa Ukumbini Tayari Hakijasema Lolote Kuhusu Kuhairishwa Na Majina Kutajwa Kesho Bali Ninachokijua Ni Kwamba Muda Wowote TBC1 Wataanza Kurusha Matangazo Yao Live Kutokea Ukumbini Juu Ya Mkutano Mkuu Wa CCM Na Hata Kama Mkutano Ungehairishwa Basi Katibu Ya Itikadi Na Uenezi Nape Angefanya Press Conference Na Umma Tungejulishwa au Kufahamishwa. Muda Mwingine Mkiwa MNADHARAULIWA Humu Na Kuitwa MAPOPOMA Msiwe Mnakasirika Kwani Mnaboa Na Mnaudhi Kwa Umbea Na Kupenda Kwenu KUZOZA! Halafu Unasema Umesikia Na Mbona Hujasema Umesikia Kwa Nani au Chombo Gani? Ndiyo Maana Hata Taifa Letu Linadharaulika Nje Ya Mipaka Yetu Kutokana Na Wazushi Na Wapuuzi Wa Aina Yako. Umeshawekewa Hapo Link Lakini Bado Tu Unabisha Kuwa Hakuna Kitu Kinachoendelea. Kwahiyo Hiyo Link Iliyowekwa Hapo Ni Ya Watoto Wako Wakigombania Kuingia Chooni Kujisaidia au? Halafu Hapo Hapo Tunajitapa Sisi Ni Great Thinkers Humu. Shame On You!
 
Yaaaani watanzania pengine amjui mchezo mchafu uliofanyika ni kwamba

kamati kuu hupokea majina yote na kuyahakiki then kuyachagua 5

kilichotokea baadhi ya wahuni wamekwenda na majina 5 walipofika wakaambiwaaa

ati kikao kinatakiwa kuizinisha haya matatno na sio kuchagua....dk nchimbi amesema

toka ajue siasa ajawahi kuona michezo michafu ya kihuni kama kilichotokea dodoma

loh...nchi inaongozwa kijeshi hadi kwenye maslahi ya taifa,,,uwiiiii

haya wakachague na hao 3 basi walete moja ....nec wamekataa uhuni wa kamati kuuu

Mkuu siyo maslahi ya Taifa hayo ni ya chama cha mafisadi
 
Mwacheni huyo Enzyme hajitambui; habari ya jana yeye anadai ni ya leo. Halafu hata habaini kuwa hizo briefing zinafanyika kwenye mwanga finyu kuashiria ni usiku. Siyo vichaa wote wako Mirembe!!!
 
Acha upotoshaji kuwadi wewe

Unapenda kuangalia Video za Ngono kuliko Television Kimsingi Ndo alichokisema mzee Kingunge alivyokua akifanya Mahojiano na Mwandishi wa habari mwandamizi wa BBC Charles Hilary na alionekana kupitia Channel ten
 
Yaaaani watanzania pengine amjui mchezo mchafu uliofanyika ni kwamba

kamati kuu hupokea majina yote na kuyahakiki then kuyachagua 5

kilichotokea baadhi ya wahuni wamekwenda na majina 5 walipofika wakaambiwaaa

ati kikao kinatakiwa kuizinisha haya matatno na sio kuchagua....dk nchimbi amesema

toka ajue siasa ajawahi kuona michezo michafu ya kihuni kama kilichotokea dodoma

loh...nchi inaongozwa kijeshi hadi kwenye maslahi ya taifa,,,uwiiiii

haya wakachague na hao 3 basi walete moja ....nec wamekataa uhuni wa kamati kuuu
Mtalia na kusaga meno kama mifisi..
 
Back
Top Bottom