SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,613
- 7,889
kweli mkuu.Uhakika mkuu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli mkuu.Uhakika mkuu??
That was my thinking too,kama ni kweli sioni CCM ikishinda......upinzani wajipange vizuri wakishindwa this time nao wapotee tuu.[/QUO
CCM itashindwaje wakati tume ya uchaguzi imejaa makada wake?
watajwa wameingia top 3
Basi rais Magufuli.na mm nikeipata hii sasa hiv
source
Mabadiliko ya safari
Safari ya Matumaini
Safari ya Matumain
Safari ya Matumai
Safari ya Matuma
Safari ya Matum
Safari ya Matu
Safari ya Mat
Safari ya Ma
Safari ya M
Safari ya Mo
Safari ya Mon
Safari ya Mond
Safari ya Mondu
Safari ya Mondul
Safari ya Monduli
Hahahahahahahah kumbe neno matumain ilikuwa safari ya monduli dah mzee akafuge ng'ombe zake na asubili kusikia redioni ccm wakiludi November kama chama cha upinzani
Ngoja tusubiriClouds FM Moja kwa moja Dodoma wanasubiri tu Nape athibitishe
Una uhakika
BAsi Magufuli ana nafasi kubwakweli mkuu.
Taarifa za uhakika kutoka ndani ni kama ifuatavyo
1. John P. Magufuli
2. Amina Ally
3. Asharose Migiro