Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wajumbe wako 324...
Wehuu hawaaa...
Au walimpigia m1 m1
Kumbe unapewa karatasi yenye majina matano na unaweka tick kwenye majina matatu tuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajumbe wako 324...
Wehuu hawaaa...
Au walimpigia m1 m1
magufuli hajawahi kuwa msukuma....msumbwa/mnyambo
UKAWA utakuja kusikia tu Fulani anagombea ... hahaha! Hii Top 3 ya CCM yeyeto atakayepita anaingia IKULU
bwana mdogo, huyu magufuli ana undugu wa damu na msukuma m/kiti wa ccm mkoa wa geita. Baba zao ni mtu na kaka yake..
amina salum ndio atapenye watu wa el wanafanya upsidedowninsideout
Hapa usalama watamteuwa Magufuli hata kwa kura za kutengeneza!
Kura za hasira?Mkimwaga mboga tunamwaga ugali
ndio usemi wa sasa hapa.dodoma..wajumbe wameapa kumpa.amina s ali labda awahi mbele ya haki
yuko hai hiyo ndie.wanamchagua...sty tuned
Mkuu...UKAWA hawana uwezo wakuliangusha jembe magufuli!
Dah afadhali magufuli hawa waislam (membe & makamba) waliokuwa wanabebwa na na kikwete wangeisilimisha nchi na kuipeleka OIC
Sijaelewa utaratibu wa hizo kura. Wajumbe wa nec si walikuwa 385 tu, sasa mbona ukijumlisha hizo kura zinavuka idadi ya wajumbe wa nec?