Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

bwana mdogo, huyu magufuli ana undugu wa damu na msukuma m/kiti wa ccm mkoa wa geita. Baba zao ni mtu na kaka yake..

Kwanza jifunze kuheshim, especially unapojibu kwa mtu ambae haumjui. Lakini sijui kama Magufuli na Msukuma i ndugu. Msukuma ni mwenyeji wa Nzera - Bugando
 
Mwenye no mh. Zitto za airtel anitumie coz za tigo apatikana nimwambie kuwa amstili lowasa ata agombee kwake ACT MAENDELEO coz TLP wamegoma
 
Sijaelewa utaratibu wa hizo kura. Wajumbe wa nec si walikuwa 385 tu, sasa mbona ukijumlisha hizo kura zinavuka idadi ya wajumbe wa nec?

Mkuu mimi nimewasilisha tu huo ujumbe.

Magufuli aliwekewa njia safi ili pingamizi Zito kwa Lowassa lipatikane.

Viongozi wengi ndani ya NEC hawana imani na Lowassa.
 
Back
Top Bottom