Mngulu Erick
Member
- Jan 16, 2015
- 94
- 8
Midahalo muhimu.... Tunawasubiri tuone uwezo wa kujibu hojaa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiukweli magufuli silitaki liwe rais ,misukuma ni mishamba sana itatusumbua sie watanzania.slaa chukua nchi
Bilali ni Muslim afu Ana wake wives yaani sio mistress sasa kama amna wasafi alternative hazijaisha bado tuna ukawa tuwape ao atuwezi kujigeuza lab rats et tufanyiwe majaribio ii ni nchi sio maabara
Sijui ulitaka kufikisha ujumbe gani, maana zote sifa hasi... kutojua kujieleza... mwizi... Ulitaka kusemaje?WATU WALIOMZIDI LOWASSA UBORA..
1. Mwanamke Balozi Amina Salim Ali
2. Mwanamke AshaRose Migiro
3. Mtoto mdogo aliyeingia bungeni 2010, Kijana January Makamba
4. ....,.............. Huyu simtaji, maana hata Lowassa hakupanga kupambana nae.. 
Kiufupi, Lowassa amezidiwa mbali sana na wanawake wawili, wanawake ambao hata kujieleza walipata shida jana, lakini ndo hivyo tena..
Hivi lowassa alifikiria kupata kweli??!! 
Kwanini lakini aligombea?!!
My take: Uchaguzi huu nikiwa mzima lazima nikampe mwalimu mwenzangu wa CM kura yake moja.. Naamini itachangia kumfikisha ikulu..
Hongera kaka Magufuli, wewe ushapita, hawa wanaozidiwa uwezo na wanawake wanaingia tano bora wao hawapo mi naona zengwe tu...
Wanawake oyeee... Yaani CCM wamenifurahisha sana, Eti wameona ni bora wanawake wawili wasiojua kujieleza kuliko mwanaume mmoja mwizi
Its not the matter of Lowasa only, but the grieved followers of him! As a politician Lowasa can be reconciled to Magufuli but for us, nothing can quench our vengeance!magufuri is wisely,
he needs support from lowassa!
to win the election easly,,.
Usikariri Kuwa kila kitu kinabaki static. We we utakuwa shamba zaidi.
Hii midomo mirefu itawacost nawaambieni.
Naona mnajipongeza baada ya kumkata kipenzi cha watu na kumweka Mkandarasi ili alinde ufisadi wa mfalme na wafuasi wenu.
Amini nawaambieni hamuwezi kuzuiya mafuriko kwa mikono.
Mark my word
Magufuli Hafai Kuwa Rais: Siyo Msafi na Hajawahi kuwa Msafi
1. Nyumba za Serikali
Kwa hakika hili ni doa kubwa sana kwa Magufuli. Ni katika kipindi alichokuwa Waziri wa Ujenzi (awamu ya 3) alishawishi kwa nguvu na msukumo mkubwa sana mpaka kufanikiwa uuzaji wa nyumba za serikali.
Suala hili Waziri mkuu mstaafu Mh.Sumaye alisha lifafanua kwa undani, uuzaji wa nyumba za Serikali ulukuwa kwa nia njema tu - we sema labda waliokosa fulsa hiyo ndio wanataka kumzulia Mh.Magufuli - nyumba zenyewe wamewauzia waswahili wenzetu je wangekuwa wameuziwa wagine mgesema nini? Niliwahi kumsikia Magufuli akisema kwamba fedha ambazo zingepatikana zingetumika kunjenga nyumba nyingine ili wawauzie wananchi, lakini wanahibuka watu humu na kutaka kumzulia mambo tu.
2. Ujenzi wa Barabara
Eneo hili ni sehemu nyingine ambayo Magufuli amekuwa akijipatia fedha haramu. Baadhi ya wafuasi wake wamekuwa wakijaribu kusema kwamba ni TANROADS ndiyo wahusika wakuu katika barabara na siyo Magufuli. Ingawa hoja yao siyo ya kweli na haina mashiko.
Msitake kudanganya watu na takwimu zenu za kubuni tu, kama mna chuki binafsi na Magufuli semeni wazi wazi? Kwani Watanzania hawana macho, kwani nani ambaye hajui umahili wa Mh.John mpeleke Wizara yoyote 2 prove a point, jamaa huyu si mtu wa kawaida lazima tukubaliane na hilo. Tuje suala la barabara - yaani unataka kusema wewe binafsi huoni tofauti ya ufanisi wa kazi na uwajibikaji tangu Magufuli akabidhiwe Wizara ya ujenzi!!
3. Sakata La Bomoa Bomoa
Ni jambo la wazi ya kwamba sheria zimetumgwa ili zifuatwe, lakini kuwa na ubinadamu au utu ni zaidi ya sheria. Ni Magufuli huyu huyu alipigwa stop na Mh. Rais pale alipoona Magufuli anakiuka wazi haki za binadamu.
Mkuu jaribu kusoma Historia ya URUSI wakati wa utawala wa Stalin specifically kuhusu hatua za maendeleo ya Taifa hilo under his watch - walipiga hatua kubwa sana, na hii wakati mwingine walipaswa kufanya mahamuzi magumu ili wafikie malengo yao - Taifa haliwezi kukwamishwa na watu wachache wakorofi ambao hawataki kuhama na kupisha maendeleo ya watu walio wengi eti kwa kisingio cha human rights - na vyama vya upinzani vina-capitilize kwenye mantra za human rights kama mtaji wa kisiasa hawajali maendeleo, hivyo wanachochoea watu kuwa wakorofi kwa visingizo visivyo na mantiki, kwani nini hawataki kupisha ujenzi wakadai fidia baadae.
4. Shelly Ya Mwanza
Tukizidi kukumbuka sakata la Shelly ya Mwanza ndipo tunazidi kujua jinsi gani Magufuli ni mtu wa kukurupuka na mtu mwenye chuki. Kwa chuki zake binafsi kipindi cha awamu ya 3 akiwa waziri wa ujenzi aliamuru kuvunjwa kwa Shelly ya bwana Mansoor (mbunge wa Kwimba) iliyopo maeneo ya madaraka misheni jijini Mwanza. Baada ya ukiukwaji huo wa sheria bwana Mansoor alienda mahakamani na kisha kushinda kesi na hukumu kutolewa kwamba serikali imlipe Mansoor mabillioni ya fedha, sababu kubwa zikiwa ni chuki na kisasi cha Magufuli
Mkuu umetaja neno chuki mara ngapi hapa? Kisaikolojia hilo linathibitisha nini about your 'PERSONA' ni spitting image of your goodself - saying of the wise usema hivi: Kama huna jambo jema la kuzungumza kuhusu binadamu mwenzako the best U can do ni kukaa kimya.
5. Magufuli ni mtu mwenye kiburi, majivuno na hashauriki
Sifa zingine pekee za Magufuli ni mtu mwenye kiburi, majivuno na hashauriki kitu ambacho ni hatari sana kwa ustawi wa Taifa. Hayo mambo yamepelekea hata utendaji kazi wa watumishi wa chini kuwa mgumu sana. Watumishi chini ya wizara yake wanasema Magufuli ni mtu mwenye majivuno sana, ni mtu mwenye chuki na ni mtu asiyepokea ushauri wa mtu yeyote yule zaidi ya mke wake na Kabula
Reading between the lines naweza ku-guess wewe ni mtu/watu wa lika gani, you keep repeating yourself over and over again kwa theme zile zile unachofanya ni kubadirisha maneno, lakini all in all unaonekana una a chuki binafsi na Mh.John, come clean u-confess kama aliwahi kukutimua TANROADS au kwenye mizani.
Please revisit my comments kwenye item No.5 unajirudia rudia tu kwa kuwa huna point za kumu-nail Mh.Magu, unasema lolote like a drunken COMET, ndio baadhi ya Watanzania tulivyo kuwaharibia sifa na kujaribu kupaka matope binadamu wenzetu tukiwa na imani kwamba matope hayo yata-stick.6. Umiliki wa Kebbys Hotel
Kebbys Hotel ni hoteli iliyopo Mwenge/Bamaga upande wa kulia kama unaenda posta/mjini. Kwa muda mrefu mmiliki wa hoteli hiyo amekuwa akijificha katika mgongo wa mtu mwingine ila ukweli ni kwamba mmiliki halali wa hoteli hiyo ni John Pombe Magufuli na siyo Dada Kabula.
Umiliki wa Hoteli kubwa kama Kebbys ambayo kulala ni zaidi ya dola 60-90 inaonyesha wazi kwamba Magufuli ni fisadi wa kimya kimya kama yule jamaa mwingine aliyepiga za Escrow na vibali vya sukari au yule aliyechimbia fedha za Ghadafi kwenye mahandaki.
Mtu akisoma comments zako hapo anaweza kufikili unazitoa kwenye script za movies huko Hollywood California, ni usanii tu wa kufurahisha baraza, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kukuchukulia/kuwachukulia seriously.
7. Kuvunja Ndoa
Katika maandiko Matakatifu, Kumbukumbu la Torati 27: 14 imeandikwa alaaniwe yule amtamaniye mke wa nduguye au jirani yake. Ila kinyume na hayo maandiko Matakatifu Magufuli amediriki kumtamani mke wa jirani yake mpaka kupelekea kuvunja ndoa ya mtu.
Kesho ukija hapa na kudai kwamba Mh.Magufuli amedai kwamba yeye ni mkatoliki kuliko PAPA sitakushangaa!!!
8. Magufuli Hakifahamu Chama Vizuri
Ni jambo la wazi na ukweli usiopingika kwamba Taifa linatafuta Rais bora na kwa upande mwingine CCM kinatafuta mtu mwenye uwezo wa kushika kofia mbili kwa pamoja.
Magufuli ana utamaduni wa kutumia chama pale anapoitaji madaraka, ila pale tu anapoyapata hayo madaraka anakuwa ajiusishi na mkakati wowote wa kujenga chama. Historia inaonyesha Magufuli hajawahi kushika wadhifa au nafasi yoyote ile ndani ya chama, wanachama wa CCM wanauliza kwamba watamkabidhi vipi mtu asiye na background nzuri kwenye chama? Vile vile historia inaonyesha hajawahi kuchangia hata senti tano katika shughuli zozote zile zenye lengo la kujenga chama.
Hii kali!!! Unaweza kueleza member Mh.Mkapa alikuwa na wadhifa gani kwenye chama wakati alipopendekezwa kupeperusha bendera ya CCM? Jibu huna!
9. Sakata La Samaki
Katika muendelezo wa kukurupuka katika maamuzi, Waziri Magufuli mwaka jana tena aliliingiza Taifa na serikali kwa ujumla katika hasara nyingine. Ambapo serikali iliamuriwa na mahakama ilipe kiasi cha shilling Billioni 2.8 na kurudiha meli husika baada ya kukiuka sheria za kimataifa pale alipokamata Meli yenye vibali halali na iliyokuwa inafanya shughuli zake kihalali.
Sasa kama ni waziri wa kawaida anadiriki kuvunja sheria za kimataifa, Je akiwa Rais si ni wazi anaweza kulipelekea Nchi ikatengwa na jumuiya za kimataifa .. we need to think kwa umakini sana wakuu ..
10. Sakata La Kivuko
Dhana ya ubinadamu siyo kuvaa nguo au kulala kwenye nyumba bali ubinadamu ni pamoja na kuwa na hekima, b Ni wazi kauli hiyo iliwauzinisha sana na kukasirisha wananchi wengi Dar es Salaam. Ubinadamu na utu ni kitu cha bure na siyo cha ulazima, hivyo ilitegemewa Magufuli awe na kauli nzuri na yenye hekina na busara kwa wananchi husika.
Naona hapa kidogo umekuwa sober na kutumia lugha ya staha, kinacho shangaza hapa ni pale Mh.Magufuli anapoleta utani nyinyi mnajaribu kujenga hoja kimakusudi ili aonekane hafai, Watanzania wana akili ya kung'amua mbinu zenu hizo zenye lengo za kumchafua, kama Wananchi wanampenda na kuona atatuvusha the Rubicon, nyinyi hamna uwezo kuzuhia Tsunami ya Mh.Magufuli.
11. Magufuli ni Mtu wa Visasi vya Hatari
Magufuli siyo mtu wa kawaida kabisa, ndani yake amejaa chuki na visasi. Ni mtu wa visasi vya ajabu, hii inanikumbusha alipogombea ubunge 1995 na bwana Ernest Nyororo. Baada ya kushindwa katika kura za maoni ila baadaye alipoteuliwa bila uwoga alianza kumshughulikia Nyororo mpaka ikampelekea Nyororo akapata shinikizo la moyo. Kumbuka Nyororo ni ndugu yake wa damu sasa sisi wengine itakuwaje, ni wazi hili jambo linaitaji tafakari ya kina. Kama ndugu yake anaweza kumshambulia kiasi hicho iweje watu wa kawaida .. Leo Ocampo nikiwa naandika huu uzi sisiti kusema ya kwamba hata hao viongozi wanaotaka Magufuli apitishwe naomba niwaambie kwa chuki na kisasi cha Magufuli kuna siku atawabadilikia tena sana sana. Huko mbeleni naomba msije mkasema Ocampo hakutuambia .. Nina hakika asilimia zaidi ya 100 Magufuli ana chuki na viongozi waandamizi wa sasa, chuki hiyo anasubiri kuilipiza muda ukifika .
Mkuu soma majibu yangu No.4, hujabalika chochote bado unaendeleza your deep and emotional extreme dislike of Mh.Magufuli! Nikwambie kitu UMECHELEWA.
NB: Je kuna Magufuli Mwingine au ni huyu huyu?...............
Ni huyu huyu IVAN the terrible, the guy U love to hate!!!!
Asanteni
Ocampo four
Mmmmmh, you are done - finally.
Amekuwa kama wale makomandoo wa Yanga ambao kuna wakati walienda Mwanza bila nauli wakidhani watakaa milangoni na kuvuna pesa za nauli, matokeo yake Manji akanunua mechi na kulipa 100m na hivyo watu kuingia bure. Makamandoo wakakwama ikabidi wajisalimishe kwa Manji kuomba nauli ya kurudi Dar.ocampo four jana nilikutana nae NAM hotel hapa dom akihaha jinsi gani atarudi kwao maana akaunti na 4u yote anayo Bashe ambaye amechanganyikiwa kiasi cha kushindwa kupatikananika.
Teh Teh Bavicha nyie jifurahisheni kwenye poll sisi tuna wasubiri kwenye sanduku! Kamwe hamtogusa ikulu!
mkuu hii si hoja ,hakuna hoja hapa hizi ni delusions za mtu hapa!nadhani itakuwaa ni kujishusha tukijadili uwewesekaji huu!
Hapana, sio mimi ni liyesema hayo, yaliandikwa humu ndani mwezi kuwa kuna mgombea wa CCM ameongezewa Ulinzi.ilifahamika ni Magufuli.
Sasa watia nia 40 akaongezewa ulinzi mmoja kwa lipi?kiprotokali anayetoa oda za aina hiyo anafahamika. nilichofanya ni ku-connect dots backwards, mimi zio mtabiri.
usinune sana ni siasa tu. mfikie hatua mkubali you have been played.
Unaufahamu mshahara wa Magufuli? Kama huufahamu, utafute halafu linganisha huo mshahara na nyumba 60. Then, rudia kupost tena kwamba "nyumba 60 si ufisadi bali kuweka mali wazi", "Nyumba 60 ni kawaida kwake". Na nyumba 60 ni za nini? Kwani yeye tembo? Ukiangalia kwa makini utagundua hahitaji nyumba 60. Ni ushamba tu.
Kweli chama cha mapinduzi mnatisha sana, yaani mlichofanya ni sawa na kukaba mwili wa messi wakati ana mpira obviously utaaibika tu, ndugu zangu UKAWA wameshindwa hata pa kuanzia na wasiwasi wangu mechi itaisha 6-0 labda mechi iahirishwe.
Magufuli Hafai Kuwa Rais: Siyo Msafi na Hajawahi kuwa Msafi
Suala hili Waziri mkuu mstaafu Mh.Sumaye alisha lifafanua kwa undani, uuzaji wa nyumba za Serikali ulukuwa kwa nia njema tu - we sema labda waliokosa fulsa hiyo ndio wanataka kumzulia Mh.Magufuli - nyumba zenyewe wamewauzia waswahili wenzetu je wangekuwa wameuziwa wagine mgesema nini? Niliwahi kumsikia Magufuli akisema kwamba fedha ambazo zingepatikana zingetumika kunjenga nyumba nyingine ili wawauzie wananchi, lakini wanahibuka watu humu na kutaka kumzulia mambo tu.
Msitake kudanganya watu na takwimu zenu za kubuni tu, kama mna chuki binafsi na Magufuli semeni wazi wazi? Kwani Watanzania hawana macho, kwani nani ambaye hajui umahili wa Mh.John mpeleke Wizara yoyote 2 prove a point, jamaa huyu si mtu wa kawaida lazima tukubaliane na hilo. Tuje suala la barabara - yaani unataka kusema wewe binafsi huoni tofauti ya ufanisi wa kazi na uwajibikaji tangu Magufuli akabidhiwe Wizara ya ujenzi!!
Mkuu jaribu kusoma Historia ya URUSI wakati wa utawala wa Stalin specifically kuhusu hatua za maendeleo ya Taifa hilo under his watch - walipiga hatua kubwa sana, na hii wakati mwingine walipaswa kufanya mahamuzi magumu ili wafikie malengo yao - Taifa haliwezi kukwamishwa na watu wachache wakorofi ambao hawataki kuhama na kupisha maendeleo ya watu walio wengi eti kwa kisingio cha human rights - na vyama vya upinzani vina-capitilize kwenye mantra za human rights kama mtaji wa kisiasa hawajali maendeleo, hivyo wanachochoea watu kuwa wakorofi kwa visingizo visivyo na mantiki, kwani nini hawataki kupisha ujenzi wakadai fidia baadae.
Mkuu umetaja neno chuki mara ngapi hapa? Kisaikolojia hilo linathibitisha nini about your 'PERSONA' ni spitting image of your goodself - saying of the wise usema hivi: Kama huna jambo jema la kuzungumza kuhusu binadamu mwenzako the best U can do ni kukaa kimya.
Reading between the lines naweza ku-guess wewe ni mtu/watu wa lika gani, you keep repeating yourself over and over again kwa theme zile zile unachofanya ni kubadirisha maneno, lakini all in all unaonekana una a chuki binafsi na Mh.John, come clean u-confess kama aliwahi kukutimua TANROADS au kwenye mizani.
Please revisit my comments kwenye item No.5 unajirudia rudia tu kwa kuwa huna point za kumu-nail Mh.Magu, unasema lolote like a drunken COMET, ndio baadhi ya Watanzania tulivyo kuwaharibia sifa na kujaribu kupaka matope binadamu wenzetu tukiwa na imani kwamba matope hayo yata-stick.
Mtu akisoma comments zako hapo anaweza kufikili unazitoa kwenye script za movies huko Hollywood California, ni usanii tu wa kufurahisha baraza, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kukuchukulia/kuwachukulia seriously.
Kesho ukija hapa na kudai kwamba Mh.Magufuli amedai kwamba yeye ni mkatoliki kuliko PAPA sitakushangaa!!!
Hii kali!!! Unaweza kueleza member Mh.Mkapa alikuwa na wadhifa gani kwenye chama wakati alipopendekezwa kupeperusha bendera ya CCM? Jibu huna!
9. Sakata La Samaki
Katika muendelezo wa kukurupuka katika maamuzi, Waziri Magufuli mwaka jana tena aliliingiza Taifa na serikali kwa ujumla katika hasara nyingine. Ambapo serikali iliamuriwa na mahakama ilipe kiasi cha shilling Billioni 2.8 na kurudiha meli husika baada ya kukiuka sheria za kimataifa pale alipokamata Meli yenye vibali halali na iliyokuwa inafanya shughuli zake kihalali.
Sasa kama ni waziri wa kawaida anadiriki kuvunja sheria za kimataifa, Je akiwa Rais si ni wazi anaweza kulipelekea Nchi ikatengwa na jumuiya za kimataifa .. we need to think kwa umakini sana wakuu ..
Naona hapa kidogo umekuwa sober na kutumia lugha ya staha, kinacho shangaza hapa ni pale Mh.Magufuli anapoleta utani nyinyi mnajaribu kujenga hoja kimakusudi ili aonekane hafai, Watanzania wana akili ya kung'amua mbinu zenu hizo zenye lengo za kumchafua, kama Wananchi wanampenda na kuona atatuvusha the Rubicon, nyinyi hamna uwezo kuzuhia Tsunami ya Mh.Magufuli.
Mkuu soma majibu yangu No.4, hujabalika chochote bado unaendeleza your deep and emotional extreme dislike of Mh.Magufuli! Nikwambie kitu UMECHELEWA.
Ni huyu huyu IVAN the terrible, the guy U love to hate!!!!
Mmmmmh, you are done - finally.
Naona na wewe una mapenzi binafsi unajaribu kuonekana you critically analyze vitu lakini huna la msingi unalotetea umewaste mda tu Mr wise guy bukyanangadi cjui