Godfrey Mhilu
Member
- Jun 3, 2015
- 8
- 1
hongera zake magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jk ameogopa kutangaza matokeo?
rums 09:02 Today
Matokeo ya kura za wagombea kutokana na Mkutano Mkuu ni :
Mhe. John Magufulu 87%,
Balozi Amina Ali 10% na
Dk. Asha Migiro 3%
Oyooooo UMOJA NI USHINDI
sasa hapa ndio unaleta hoja lakini ile ya mwanzo hapana ilikuwa haina kichwa wala miguu!Tuseme ukwel tu yule padri anaweza kusimama na makufuli kwel?tuache kujifariji ovyo
Kiukweli unafiki ni unafiki tu.
Hawa maccm ni manafiki ajabu, japo yamemtangaza Magufuli kuwa mgombea lakini watu hawajahamasika kwa furaha.
Imagine Lowasa ndiye angetangazwa kuwa ndiye mshindi nini kingetokea....!?
HII NI HABARI NA MWANGA TOSHA KWA UKAWA KWAMBA WANACHOTAKIWA KUKIFANYA MUDA HUU NI DR. SLAAA KUPANGA BARAZA L;AKE LA MAWAZIRI MAPEMA
Jumla ya kura 2422,
Zilizoharibika 6
kura safi 2416
Magufuli >kura-2104 sawa na 87.1%
Asharose >kura-59 sawa na 21.4%
Amina >kura-253 sawa na 10.5%