Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

rums 09:02 Today
Matokeo ya kura za wagombea kutokana na Mkutano Mkuu ni :

Mhe. John Magufulu 87%,

Balozi Amina Ali 10% na

Dk. Asha Migiro 3%
 
Kura zilizopigwa ni 2422 zilizoharbika 6 halali ni 2416

Dr.asha rose kura59. Sawa na 2.4%

Amina kura 253. Sawa na 10.5%

Magufuri. 2104 sawa na 87.1%
 
Kiukweli unafiki ni unafiki tu.

Hawa maccm ni manafiki ajabu, japo yamemtangaza Magufuli kuwa mgombea lakini watu hawajahamasika kwa furaha.

Imagine Lowasa ndiye angetangazwa kuwa ndiye mshindi nini kingetokea....!?

HII NI HABARI NA MWANGA TOSHA KWA UKAWA KWAMBA WANACHOTAKIWA KUKIFANYA MUDA HUU NI DR. SLAAA KUPANGA BARAZA L;AKE LA MAWAZIRI MAPEMA
 
Pilipili ya shamba inakuwaje inakuwasha mkuu?? Mark my word...CCM hawahitaji kufanya kampeni
 
Jumla ya kura 2422,
Zilizoharibika 6
kura safi 2416

Magufuli >kura-2104 sawa na 87.1%

Asharose >kura-59 sawa na 2.4%

Amina >kura-253 sawa na 10.5%
 
Siasa tamu, mara hii Magufuli amepewa Ulinzi rasmi wa serikali.
 
Back
Top Bottom