Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Samia alikuwa Waziri katika serikali ya Mapinduzi Zanzibari...

Kwa sasa ni Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais katika serikali ya Jamhuri ya Muungano..Anashughulikia Muungano...Hivyo anao uzoefu na ofisi ya Makamu wa Rais...

Pia ndiye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba.

Pia anakubalika Zanzibar...Atasaidia sana kuimarisha Muungano.
 
Asante sana mheshimiwa kikwete kwa kuendelea kutuongoza kwani bado tunakuhitajia sana aiseee honest myonge mnyongeni kikwete yupo Imara makini sana na anakwenda na sistem ya kisasa kama Obama kwanza akiongea anatulia maneno yake mazuri hodari wa kuongea na mengi mazuri aliyotufanyia japo hakuna awezae kumfurahisha kila mtanzania mmoja hata kifamilia Kuna mapungufu

Big up JK jembe ALL THE BEST IN UR HAPPY FREE LIFE
 
Mama Ana Makinda anasema wanawake walikuwa hawafiki kileleni mpaka hii awamu ya nne ndio wamefika kileleni shukrani zimuendee JK😂😂😂😂
 
One of the qualifications to be vice-president is can you be president?

Because she is going to be one heartbeat away from the presidency [yeah I know, but let's face it, Tanzania is still a one party state and this whole multiparty thing is a joke], the question becomes, can she be president?

I don't know....
 
Huu uteuzi wa huyu mama ni kulipizia kukosa nafasi ya urais kwa mwanamke au sijawaelewa vizuri hawa?
 
Dah Amina Suluhu ni surprise kwangu....sina jinsi kwasababu ni team CCM ngoja twende tukatafute ushindi wa chama.
 
Wadau Lowassa simuoni ktk huu mkutano huu wa leo. Kuna nini?
 
Back
Top Bottom