Yaliyojiri katika Ziara ya Rais Samia Mkoani Morogoro

Eti wananchi wajitokeze kwa wingi
 
Aidha Mkuu wa mkoa wa Morogoro Bw. Martin Shighela alisema ziara hiyo ya Samia Suluhu Hassan atakutana na Wananchi na hivyo akatoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kumlaki Rais wao.
Hajasema tuje na mabango ya aina gani?
 
Kwa kweli mkoa wa Morogoro unapaswa kumegwa.
Ni mkoa wenye eneo kuuubwa lakini cha ajabu huwenda huo mkoa unawanyama wengi na maeneo ya mbuga za wanyama kuubwa kuliko hata watu na maeneo ya watu kuishi
 
Mwache Mama aendelee kupiga kazi. Endelea kutatua shida za wananchi.


Asante Mama Samia bodi ya mikopo wamenionfolea dhulma yao ( waliyoita VRF na Faini) Karibu mil. 5 +
Mungu akubariki
 
Kwa kweli mkoa wa Morogoro unapaswa kumegwa.
Kuumega mko wa morogoro ni kuuharibu maana sehemu kubwa ya morogoro ni misitu na mbuga makazi ya wananchi yako scattered sana
 
Hivi huyo mzee wa Msoga hajastaafu?

Nina mashaka kuwa ana fanya kazi ya urais kwa maana ya kuwa hajastaafu
Hahahahaaaa.. hata huku USA, George Bush, Clinton, Obama, Trump ...bado wanaendelea kukagua miradi ya maendeleo...kazi iendelee.
 
Hahahahaaaa.. hata huku USA, George Bush, Clinton, Obama, Trump ...bado wanaendelea kukagua miradi ya maendeleo...kazi iendelee.
Acha kueneza uongo, Trump ana keshaondolewa huyo atakagua mradi gani?

Mzee wa msoga ni mwizi na hashitakiwi, halafu wewe unafananisha USA na bongo [emoji3][emoji3]
 
Mkuu GEMBESON ,umeandika jambo la msingi sana. Kongole.
Kufungwa kwa TTPL kwa kweli kuliniumiza sana sana. Watanzania waliokosa ajira ni wengi na kwa kweli imerudisha nyuma uchumi wa Moro kwa kupungua kwa mzunguko wa pesa mitaani.
Mh. Rais Samia S.H inabidi alivalie njuga sana hili swala ili hawa wawekezaji waweze kurejea haraka iwezekanavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…