Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shahidi wa leo anaonekana kuwa na kichwa kizito sana kwenye kuishika Script vizuri!! Ngoja tuone kama hiyo kesho hata aibika kama watangulizi wake.Mashahidi wanaanza kuingia mitini?
Au huyu wa leo riheso haikwenda vizuri wanaenda kurudia?
Labda umesikia kwa watu na hukufuatilia hatua kwa hatua kilichoendelea mahakamani jana trh 2/11/2021...Kwani si mwanasheria wa tigo alikuwa anamalizia kutoa ushahidi wake leo
AmeeenMungu ibariki CHADEMA
Shahidi amefundishwa usiku kucha ameamka asubuhi kasahau uongo aliofundishwa inabidi tuition iendelee tena leo. Aibu sana kwa CCM na Serikali yake kutumia Mahakama kama kijiwe cha wanywa kahawa kuleta umbea tuBaada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana kesi ilisikiliza shahidi ambae ni mwanasheria wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo. Leo Jamhuri inaleta shahidi mwingine. Kuwa nami.
Alishasema kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja.Samia naye hataki upinzani kama Magufuli.
Learned lawyer from Tigo alimaliza Jana.Kwani si mwanasheria wa tigo alikuwa anamalizia kutoa ushahidi wake leo
KabisaMkuu replica nikupongeze kwa kazi nzuri ya moyo wa kujitolea kutuanikia kila kinachoendelea hapo mahakamani hakika unafanya kazi kubwa na ngumu kwa watanzania ambayo inastahili mshahara mkubwa kuliko ule wanaolipwa wale mazuzu kule uzuzuni shukrani pia kwa mkuu erythrocyte,G day!!!
Tupate muda wa ku-review scripts - mashahidi wanatuangusha sana wakishapanda kizimbani.Heading yako mpaka tarehe 12/11/2021 serious?
Kuna vibaraka wa Magufuli hawataki kabisa kusikia upinzani, Majaliwa na Mpango ndo washauri wakuu na ndo waliasisi siku ya nyerere day kua magu daySamia naye hataki upinzani kama Magufuli.
Ni mambo ya hovyo kabisatupate muda wa ku-review scripts - mashahidi wanatuangusha sana wakishapanda kizimbani.
huyo wakili wa TIGO akikutetea mahakamani asiee unafungwa hata kama hukutenda kosa.Learned lawyer from Tigo alimaliza Jana.
Hakuna mtu atakubali kuja kudhalilishwa mbele ya kadamnasiKesi imeahirishwa, shahidi inasemekana kapatwa na shida ya kiafya[emoji4]
Leo siku nzima atakuwa darasani akikaririshwa. Tatizo hawa jamaa hawajui kutafuta vipaji.... Sasa kama yule muuza mbege si wangemtafuta Wema Sepetu awabebe tu...Shahidi wa leo anaonekana kuwa na kichwa kizito sana kwenye kuishika Script vizuri!! Ngoja tuone kama hiyo kesho hata aibika kama watangulizi wake.
Yule alimaliza jana, hana hamu tena ya kurudi mahakamaniKwani si mwanasheria wa tigo alikuwa anamalizia kutoa ushahidi wake leo