Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 3, 2021: Shahidi Upande wa Mashitaka ashindwa kutokea Mahakamani, kesi yaahirishwa hadi Novemba 4, 2021

Mkuu Replica umebadilisha heading kuwa Kesi imeahirishwa mpaka Nov.12? au ni mpaka kesho 4/11/2021
 
Kwani si mwanasheria wa tigo alikuwa anamalizia kutoa ushahidi wake leo
Labda umesikia kwa watu na hukufuatilia hatua kwa hatua kilichoendelea mahakamani jana trh 2/11/2021...

Ni hivi, huyo shahidi wa kutoka Tigo alimaliza kutoa ushahidi wake jana hiyo hiyo...

Aliyepaswa kuja leo ni shahidi Mpya kabisa. Haijulikani ni nani. Labda IGP Simon Sirro au Sabaya....
 
Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana kesi ilisikiliza shahidi ambae ni mwanasheria wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo. Leo Jamhuri inaleta shahidi mwingine. Kuwa nami.
Shahidi amefundishwa usiku kucha ameamka asubuhi kasahau uongo aliofundishwa inabidi tuition iendelee tena leo. Aibu sana kwa CCM na Serikali yake kutumia Mahakama kama kijiwe cha wanywa kahawa kuleta umbea tu
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…