Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 3, 2021: Shahidi Upande wa Mashitaka ashindwa kutokea Mahakamani, kesi yaahirishwa hadi Novemba 4, 2021

Mashahidi wanaanza kuingia mitini?

Au huyu wa leo riheso haikwenda vizuri wanaenda kurudia?
Aliyecheza nafasi ya kibatala alikuwa shallow sana.. Wanarudia igizo zima kwa ingizo jipya
 
huyo wakili wa TIGO akikutetea mahakamani asiee unafungwa hata kama hukutenda kosa.
Tatizo kubwa kwenye hii kesi anajaribu kutetea uongo....!

Mtu ukisimamia ukweli huwezi kutetereka hata siku moja.
 
Itakuwa walichekewa kumpa mafunzo huyo shahidi,
Mashahidi wangekuwa wakutafuta kwa tochi.
 
Shahidi kaingia mitini kazima na simu, ya nini kuaibika bwana.

Kama ni hivyo, mashahidi watagoma kudharirika mahakamani...

Kitakachofuata ni baadhi ya mashahidi wa serikali kukataa maigizo au mawakili wa serikali kuomba kupunguza mashahidi wale walio kinyume na matakwa yao...
 
Wakili wa tigo nadhani usiku wa kuamkia leo ilikua ni mwendo wa nightmare
Ameharibu sana reputation ya kampuni. Binafsi nimeacha matumizi ya tigo. Hata kumpigia simu mtu wa tigo nimesitisha.
 
Twende kazi! Shahidi wa ngapi leo? Kimsingi Watanzania wengi tungependa kuona hii kesi inaisha haraka, ili haki ipatikane.
Sio haki upatikane, aachiwe, haki atapima nani, nataka waseme seme watakavyosema lakini Mbowe na makomandoo wake waachiwe, si suala la haki hapa, tunaona watoa haki wanavyoyumba kila mara nani anawaamini? Wasimamizi wa uchaguzi ni watoa haki, nani anawaamini wale, kama wewe peke yako, sio mimi!
 
Loh! Mashahidi wameingia mtini? Hebu wasinikoseshe uhondo! Hii kesi naifuatilia kama tamthiliya hata lile bunge live halioni ndani natamani isiishe haraka. Move tamu sana hii.
 
Mkuu iyo pua ni yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…