Hahaha!!! MchomeeeMchome kachoma mchongo!
Wakili elvischirwa: ni kweli wewe haujui kirefu cha GT kwenye Jamii Forums, ni kweli ama si kweli.Umeona wapi nimesema mimi ni GT?
Naona unamfanyia Cross examination mkuu!!Wakili elvischirwa: ni kweli wewe haujui kirefu cha GT kwenye Jamii Forums, ni kweli ama si kweli.
Wacha nimnyoroshe kesho asisahau PGO.Naona unamfanyia Cross examination mkuu!!
Huyu MCHOME ameyavuta manati!!!!!!!. Jamaa jasiri sana.Wacha nimnyoroshe kesho asisahau PGO.
🤣🤣🤣🤣Wakili wa Serikali: Ni kweli kwamba hukuwa na ukaribu na D/C Msemwa
Shahidi: Ndiyo Kwa sababu sina michongo naye
Jaji: Samahani, neno MICHONGO tafsiri yake nini?
Shahidi: MICHONGO ni SHUGHULI ZA UTAFUTAJI
Shahidi anawapeleka wauza mbege mpera mpera. Shahidi yuko NondoHuyu MCHOME ameyavuta manati!!!!!!!. Jamaa jasiri sana.
Mpaka wakili wa serikali amemuogopa! Kaomba msaada kwa jaji ili ajibiwe.Huyu MCHOME ameyavuta manati!!!!!!!. Jamaa jasiri sana.
Hizi kesi za kuunga unga za kina Kingai zinatufunsisha jambo moja kubwa sana.Mpaka wakili wa serikali amemuogopa! Kaomba msaada kwa jaji ili ajibiwe.
Uliza lingine😅😅Wakili elvischirwa: ni kweli wewe haujui kirefu cha GT kwenye Jamii Forums, ni kweli ama si kweli.
ungekuwa ukishaapa hivi, ukisema uwongo unageuka kitimoto - sidhani Jamhuri wangepata hata shahidi mmoja. 🤣Shahidi: Naapa Mbele ya Mahakama hii, Kwamba Ushahidi nitakaotoa utakuwa wa kweli, kweli tupu Eehee Mwenyezi Mungu Nisaidie
Kawavuruga hadi WS kasahau kurudisha dispatch ya mahakama kwa jaji. Kweli ukisikia ule msemo wa shahidi hakaidi mpaka siku ya Eid ndio leoShahidi ana confidence ya kutosha. Kama walidhani ni wauza mbege wamechemka
Hatari sn lala wewe UVCCMMungu wa mbinguni awafanyie wepesi wa kutujuza yanayojiri hatua kwa hatua!
"Waongo na walozi ni watu wakuchomwa"......... Sam.Mungu wa mbinguni awafanyie wepesi wa kutujuza yanayojiri hatua kwa hatua!