Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na wenzake - Desemba 1, 2021. Shahidi asimulia alivyowekwa chumba cha mateso gerezani. Uamuzi kusomwa Desemba 14, 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na wenzake - Desemba 1, 2021. Shahidi asimulia alivyowekwa chumba cha mateso gerezani. Uamuzi kusomwa Desemba 14, 2021

Kweli nimeamini mchongo ni mchongo tu hata ufanyanye nini haubadiliki
 
Matata: Shahidi Shika hii Ni Detention Register naomba Utafute Tarehe ambazo wewe Ulipelekwa Tazara

Jaji: Kielelezo namba Ngapi P3

Shahidi: Sijaona Tarehe 23 September 2020

Matata: Kwa hiyo Jina lako Limo au Halimo

Shahidi: Sijaona Jina langu

Matata: Angalia pia Tarehe 24 na Tarehe 25 Siku Uliyoenda Mahakamani

Jaji: amesema apekue Upya

Shahidi anatafuta Tarehe 23 September 2020 kwenye Detention Register ya Tazar
kielelezo kipo tayari mahakamani, wanataka kugomea kisitumike - haya jina la jamaa halipo. aisee hii ni hatari kubwa namna Jeshi la police linavyofanya kazi.

Kwenye script vitu hivi vidogo ni vigumu sana kuonekana na mchoraji - picha linazidi kuungua.
 
Naanza kuhisi kuna uonevumkubwa Sana jeshini,, huenda wakienda mission wanadhulumiwa alafu. Wanalazimishwa kuachishwa kazi
Uwezekano wa kubambikiziwa ugonjwa wa akili Kisha ukanyanyapaliwa na kufukuzwa kazi na haki zako zinaliwa, maana Hawa jamaa wote wamefukuzwa kazi kwa trend inayofanana na kipindi kisichotofautiana Sana hapa Kuna tatizo!?
 
Hii kesi inafunua mambo mengi ambayo tulikuwa hatujui,kumbe jeshini Kuna undezi namna hiyo?
Hata mie nashangaa,kuna siku nilikuwa namuuliza mjeda mmoja ivi akaniambia ukiingia depo tu ile miaka 6 ya mwanzo ya kukaa bila ya kuoa/kuolewa ikiishia,baada ya hapo unapewa mkataba wa ajira ya muda wa miaka miwili miwili nilishashangaa sana kusikia ivyo
 
Kingai, Jumanne, Minja, Azizi na Mahita inaonekana walikuwa na kibali kutoka jumba jeupe. Shoo zote za kibabe wanasimamia wao mikoa yote tanzania nzima. Hawa sio watu wadogo.
Zile maiti zilizotapakaa nchi nzima kwenye viroba ni kazi ya hao W.A.S.H.E.N.Z.I akina Kingai, Jumanne, Goodluck, Azizi na Mahita. Hawa WAPUUZI hawana tofauti na ule USHETANI uliofanywa na Nduli Idd Amini Dadaa, Mwendazake alituharibia sana hii nchi.
 
Mbaya zaidi kinachoniuma ni kuona wengi wa hao watesi ni waislamu,sasa sijui uislamu wao hauzungumzia muislamu kuwa na huruma na viumbe vya Mwenyezi Mungu
 
kielelezo kipo tayari mahakamani, wanataka kugomea kisitumike - haya jina la jamaa halipo. aisee hii ni hatari kubwa namna Jeshi la police linavyofanya kazi.

Kwenye script vitu hivi vidogo ni vigumu sana kuonekana na mchoraji - picha linazidi kuungua.
Hivi kwa mchoro huu huyu hapa bado anasubiri kuja kupewa u IGP ?
Unknown-2-9.jpeg
 
Kumbe kulikuwa na mambo mengi yanaendelea sisi hatujui,sikujua kama kuna watu wamepitia mateso ya kutisha kama haya kabla ya huu ushaidi
 
Back
Top Bottom