Kuna kazi nilishaapa hataDaah huyu shahidi wa leo kama mpaka sasa hajalipwa stahiki zake basi tutakuwa na Jeshi la ovyo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kazi nilishaapa hataDaah huyu shahidi wa leo kama mpaka sasa hajalipwa stahiki zake basi tutakuwa na Jeshi la ovyo sana
Na wanaamini roho mbaya na ukatili ni ushujaa majinga kweli!huyu Godluck , Jumanne, Kingai ni watu wana roho mbaya sana, Sabaya akasome.
kielelezo kipo tayari mahakamani, wanataka kugomea kisitumike - haya jina la jamaa halipo. aisee hii ni hatari kubwa namna Jeshi la police linavyofanya kazi.Matata: Shahidi Shika hii Ni Detention Register naomba Utafute Tarehe ambazo wewe Ulipelekwa Tazara
Jaji: Kielelezo namba Ngapi P3
Shahidi: Sijaona Tarehe 23 September 2020
Matata: Kwa hiyo Jina lako Limo au Halimo
Shahidi: Sijaona Jina langu
Matata: Angalia pia Tarehe 24 na Tarehe 25 Siku Uliyoenda Mahakamani
Jaji: amesema apekue Upya
Shahidi anatafuta Tarehe 23 September 2020 kwenye Detention Register ya Tazar
hamha kitu hapo mzee, kimeumana.Kweli nimeamini mchongo ni mchongo tu hata ufanyanye nini haubadiliki
Kalale!Hii Case isha nichosha kufatiria
Uwezekano wa kubambikiziwa ugonjwa wa akili Kisha ukanyanyapaliwa na kufukuzwa kazi na haki zako zinaliwa, maana Hawa jamaa wote wamefukuzwa kazi kwa trend inayofanana na kipindi kisichotofautiana Sana hapa Kuna tatizo!?Naanza kuhisi kuna uonevumkubwa Sana jeshini,, huenda wakienda mission wanadhulumiwa alafu. Wanalazimishwa kuachishwa kazi
Sawa mke wangu .Kalale!
Hata mie nashangaa,kuna siku nilikuwa namuuliza mjeda mmoja ivi akaniambia ukiingia depo tu ile miaka 6 ya mwanzo ya kukaa bila ya kuoa/kuolewa ikiishia,baada ya hapo unapewa mkataba wa ajira ya muda wa miaka miwili miwili nilishashangaa sana kusikia ivyoHii kesi inafunua mambo mengi ambayo tulikuwa hatujui,kumbe jeshini Kuna undezi namna hiyo?
Nadhani bado Mtemi HangayaHivi jamhuri ilishamaliza mashahidi wake wote?
Zile maiti zilizotapakaa nchi nzima kwenye viroba ni kazi ya hao W.A.S.H.E.N.Z.I akina Kingai, Jumanne, Goodluck, Azizi na Mahita. Hawa WAPUUZI hawana tofauti na ule USHETANI uliofanywa na Nduli Idd Amini Dadaa, Mwendazake alituharibia sana hii nchi.Kingai, Jumanne, Minja, Azizi na Mahita inaonekana walikuwa na kibali kutoka jumba jeupe. Shoo zote za kibabe wanasimamia wao mikoa yote tanzania nzima. Hawa sio watu wadogo.
Mbaya zaidi kinachoniuma ni kuona wengi wa hao watesi ni waislamu,sasa sijui uislamu wao hauzungumzia muislamu kuwa na huruma na viumbe vya Mwenyezi MunguZile maiti zilizotapakaa nchi nzima kwenye viroba ni kazi ya hao W.A.S.H.E.N.Z.I akina Kingai, Jumanne, Goodluck, Azizi na Mahita. Hawa WAPUUZI hawana tofauti na ule USHETANI uliofanywa na Nduli Idd Amini Dadaa, Mwendazake alituharibia sana hii nchi.
Hivi kwa mchoro huu huyu hapa bado anasubiri kuja kupewa u IGP ?kielelezo kipo tayari mahakamani, wanataka kugomea kisitumike - haya jina la jamaa halipo. aisee hii ni hatari kubwa namna Jeshi la police linavyofanya kazi.
Kwenye script vitu hivi vidogo ni vigumu sana kuonekana na mchoraji - picha linazidi kuungua.
Hiyo ndio MAGUFULEGACYNa wanaamini roho mbaya na ukatili ni ushujaa majinga kweli!
Mungu wa mbinguni awafanyie wepesi wa kutujuza yanayojiri hatua kwa hatua!
Hivi jamhuri ilishamaliza mashahidi wake wote?