Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni uonevu tupu kila sehemu mkuuDaah huyu shahidi wa leo kama mpaka sasa hajalipwa stahiki zake basi tutakuwa na Jeshi la ovyo sana
😅😅😅😅Hata majaji wangepukutikaungekuwa ukishaapa hivi, ukisema uwongo unageuka kitimoto - sidhani Jamhuri wangepata hata shahidi mmoja. 🤣
Inabidi tu alipweDaah huyu shahidi wa leo kama mpaka sasa hajalipwa stahiki zake basi tutakuwa na Jeshi la ovyo sana
Hizo habari siunaweza kutuwekea hapa ndugu yangu?Hongera za nini mbona wanachuja habari za ushahidi wa makombora, magruneti, mabomu, bunduki, vibiriti na mapanga ya kukatia miti!
Jazia wewe ambazo wamechujaHongera za nini mbona wanachuja habari za ushahidi wa makombora, magruneti, mabomu, bunduki, vibiriti na mapanga ya kukatia miti!
Hii kesi inafunua mambo mengi ambayo tulikuwa hatujui,kumbe jeshini Kuna undezi namna hiyo?Daah huyu shahidi wa leo kama mpaka sasa hajalipwa stahiki zake basi tutakuwa na Jeshi la ovyo sana
Usisahau alifukuzwa kwa utoro, nadhani aliona marupurupu ya mbowe yalikuwa mazuri akaabscond akisingizia kuumwa.Ni uonevu tupu kila sehemu mkuu
We dada langu subiri shem akahemeeUsisahau alifukuzwa kwa utoro, nadhani aliona marupurupu ya mbowe yalikuwa mazuri akaabscond akisingizia kuumwa.
Kuna watu wamekwenda kuyachukua Afghanistan, bado yanaharufu ya moshi, yakifika upepo wa kesi utabadilika tutakuwa namashahidi watatu tu na bata wawili simnajua makazi yetu bata hawakosi.Hizo habari siunaweza kutuwekea hapa ndugu yangu?
Nyie ndio mnasababisha waafrika tunaitwa Nyani mazafanta!!Usisahau alifukuzwa kwa utoro, nadhani aliona marupurupu ya mbowe yalikuwa mazuri akaabscond akisingizia kuumwa.
Naanza kuhisi kuna uonevumkubwa Sana jeshini,, huenda wakienda mission wanadhulumiwa alafu. Wanalazimishwa kuachishwa kaziDaah huyu shahidi wa leo kama mpaka sasa hajalipwa stahiki zake basi tutakuwa na Jeshi la ovyo sana
huyu Godluck , Jumanne, Mahita, Aziz na Kingai ni watu wana roho mbaya sana, Sabaya akasome.Matata: Baada ya Kukufikisha Tazara wakina Jumanne, Goodluck na Azizi, walirudi tena Lini
Hivi Mandela angepitia mateso ya kipigo walichokipata makomandoo mpaka wamekikubali sijui kama angekuwa hai, heri ya mateso laini ya makaburu.
Aisee hata Heri Kisanduku hagusi ndanihuyu Godluck , Jumanne, Kingai ni watu wana roho mbaya sana, Sabaya akasome.
Aisee hata Heri Kisanduhuyu Godluck , Jumanne, Kingai ni watu wana roho mbaya sana, Sabaya akasome.
siku zote bora ukutane na mkoloni Mzungu kuliko ukutane na mtawala mweusiHivi Mandela angepitia mateso ya kipigo walichokipata makomandoo mpaka wamekikubali sijui kama angekuwa hai, heri ya mateso laini ya makaburu.