Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na wenzake - Desemba 1, 2021. Shahidi asimulia alivyowekwa chumba cha mateso gerezani. Uamuzi kusomwa Desemba 14, 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na wenzake - Desemba 1, 2021. Shahidi asimulia alivyowekwa chumba cha mateso gerezani. Uamuzi kusomwa Desemba 14, 2021

Hongera za nini mbona wanachuja habari za ushahidi wa makombora, magruneti, mabomu, bunduki, vibiriti na mapanga ya kukatia miti!
Hizo habari siunaweza kutuwekea hapa ndugu yangu?
 
Hizo habari siunaweza kutuwekea hapa ndugu yangu?
Kuna watu wamekwenda kuyachukua Afghanistan, bado yanaharufu ya moshi, yakifika upepo wa kesi utabadilika tutakuwa namashahidi watatu tu na bata wawili simnajua makazi yetu bata hawakosi.
 
Kingai, Jumanne, Minja, Azizi na Mahita inaonekana walikuwa na kibali kutoka jumba jeupe. Shoo zote za kibabe wanasimamia wao mikoa yote tanzania nzima. Hawa sio watu wadogo
 
huyu Godluck , Jumanne, Kingai ni watu wana roho mbaya sana, Sabaya akasome.
Aisee hata Heri Kisandu
Hivi Mandela angepitia mateso ya kipigo walichokipata makomandoo mpaka wamekikubali sijui kama angekuwa hai, heri ya mateso laini ya makaburu.
siku zote bora ukutane na mkoloni Mzungu kuliko ukutane na mtawala mweusi
 
Back
Top Bottom