Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na wenzake - Desemba 1, 2021. Shahidi asimulia alivyowekwa chumba cha mateso gerezani. Uamuzi kusomwa Desemba 14, 2021

Kumbe kulikuwa na mambo mengi yanaendelea sisi hatujui,sikujua kama kuna watu wamepitia mateso ya kutisha kama haya kabla ya huu ushaidi
Ukiwa RPC nakustaafu ruksa kuwa Mwenyekiti wa CCM Nahuwezi pewa kesi ya ugaidi.
Ukiachishwa kazi/Kufukuzwa na ukawa upande wa siasa za Chadema autimatically wewe ni GAIDI,HAINI nk
Chukueni tahadhari.
 
Vipigo vinavyotokea baada ya Uhuru havikuwahi kutokea kabla ya Uhuru.
 
Jwtz ilikuwa ya cdf msuguli sio hawa makada wa ccm
 
Hatari ninayoina hapa ni kuzalishwa kwa uhasama au uhasama kizidi mara dufu zaidi baina ya;

1. Polisi na JWTZ kwa sababu kuacha kazi jeshi haina maana waliokuwa wanajeshi wa jeshi hilo kuonewa, wanajeshi wa JWTZ watataka kuweka hii sawa ila uwekeji wao sawa hautakuwa wa amani.

2. JWTZ na Watawala kwa sababu wao ndio wanaonekana kulea huu uonezi kwa maslahi yao binafsi na si ya taifa kwa upana wake.

3. Baina ya Wanajeshi wa JWTZ na viongozi wao kwa sababu inaweka wazi uonezi ambao wenzao wanapata na ambao unaweza kumkuta yyt baina yao.
 
unadhani haya yamefanyika bila Amiri Jeshi Mkuu na viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kujua? Kuwa na amani unachowaza hakiwezi tokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…