Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

Yaani maswali ya mawakili wa utetezi yana onyesha wazi hii kesi ni ya kutunga. Sijui kwanini bado iko mahakamani kupoteza muda na kodi zetu
 
Hii kesi ina mitego mingi sana
 
"Yaani tunataka" wewe na akina nani?

Until mahakama itakapo prove kuwa kweli ana hatia
 
Jaji hajarejea bado?

Naona kule jamhuri ya Twita, tayari Kibatala ameshamaliza kumhoji na sasa Wakili wa Serikali anafanya Re-Examination
 
We mafi usituharibie utalii wetu wa terrorist vaa chupi yako uondoke!
 
Ina maana hukufundishwa darasa la 3 hyo mada...?🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…