Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chenyewe hicho ni kilipuzi Cha ubambikiaji. 🏃.Naona re examination inamvuruga zaidi Bwana vilipuzi.
🤣🤣🤣🤣Chenyewe hicho ni kilipuzi Cha ubambikiaji. 🏃.
Hakika kuwa shahidi wa kushuhudia matendo makuu ya MunguKwenye maisha epuka sana kuwa shahidi wa jambo lolote lile.
Sema kama na wewe ni karao inabidi mrudi shule mnajiabisha sanaEndelea kujifariji Mama saidi.Huyu shahidi wa leo inaonyesha yupo vizuri.Halafu ndugu yangu usitushikie akili bana kwa kutuaminisha polisi wote hawajasoma,wengi tumehitimu nao vyuo vikuu.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kwann kaka?Hii kesi mbona haioneshi dalili kuwa itachukua miezi 4? Yule Siyani hiyo miezi 4 aliyosema aliitoa wapi?
Umekatazwa kwenda kuripoti ukweli?tatizo mnao ripoti kesi hii ya mbowe mnaingiza ushabiki, hivyo mnapotosha ukweli wa kile kinacho jiri mahakamani.
ni bora mkakaa kimya tu.
maana mahakamani huwa sio sehemu ya ushabiki, ni ushahidi tu.
Kama umemsikia shahidi wa leo hii, "terrorism" ni utalii, na "terrorist" ndio ugaidi.Jana kuna shahidi ambaye hakutokea, leo wanaleta mwingine. Nina uhakika tutaendelea kushuhudia aibu tupu.
Juzi walimleta Kaaya ambaye ni genge la uhalifu la Sabaya. Ambaye walimuita “power” kwasababu ya uhalifu.
Ambaye hakutokea jana lazima alikuwa na makandokando zaidi ya Power Kaaya ambaye ni kada mtiifu wa ccm.
Wa leo ngoja tuone. Naona wamechelewa kupita kiasi, kesi ilitakiwa ianze saa tatu na sasa ni saa nne kasoro...Kwasababu kesi za kubambika ni aibu tupu kama zinafuatiliwa na Taifa zima pamoja na mataifa ya nje.
Naona inaenda fasta, ndani ya siku 3 mashahidi 3 washamalizika!! Sasa miezi mi4 ni siku 120, zimebaki siku 117 mpaka muda huu, ukiondoa weekends may be siku 109, sasa hizo siku 109 zina mashahidi wangapi?? And kumbuka Siyani alisema ni miezi mi4 MFULULIZO, non-stop!!Kwann kaka?
Kwa mujibu wa waendesha mashtaka, ile bastola na risasi tatu ni silaha ya kufanyia ugaidi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha....
Subiri wakati wake wazo hili Kipanya atalifanyia kazi.Polisi anaenda kuangusha miti barabara ya Moro Iringa kwa hilo shoka!
Wenzetu wa mtaa wa kijani wanakenua meno TU Kwa kuwa wanashiba Kwa matendo Yao bila kujali ni ya aina Gani.Kama umemsikia shahidi wa leo hii, "terrorism" ni utalii, na "terrorist" ndio ugaidi.
Na hakuishia hapo tu kujichanganya, hata kuhusu eneo analojipambanua yeye kuwa ni mtaalam wake!
Haya tunayoyashuhudia mahakamani na hawa mashahidi ndiyo sura sahihi ya nchi yetu ilivyo sasa hivi.
Tumevurugika sana kama nchi.
Subiri tumuombe bwana vilipuzi atufafanulie vizuri.Wanajamii, mbona mnajua mambo mengi wengine hatuambizani, mnatutakia mema kweli naona hamtaki tuwe wasomi kama nyie. Mimi leo ndio nimejifunza kuwa Terrorism ni maswala ya UTALII mi sikujua mwenzenu mim ni darasa la 7 mjue. kabisa kabisa sikusoma
Nchi inaendeshwa na legacy ya Mwendawazimu.. vururu vururu.Kama umemsikia shahidi wa leo hii, "terrorism" ni utalii, na "terrorist" ndio ugaidi.
Na hakuishia hapo tu kujichanganya, hata kuhusu eneo analojipambanua yeye kuwa ni mtaalam wake!
Haya tunayoyashuhudia mahakamani na hawa mashahidi ndiyo sura sahihi ya nchi yetu ilivyo sasa hivi.
Tumevurugika sana kama nchi.