Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

Jana kuna shahidi ambaye hakutokea, leo wanaleta mwingine. Nina uhakika tutaendelea kushuhudia aibu tupu.

Juzi walimleta Kaaya ambaye ni genge la uhalifu la Sabaya. Ambaye walimuita “power” kwasababu ya uhalifu.

Ambaye hakutokea jana lazima alikuwa na makandokando zaidi ya Power Kaaya ambaye ni kada mtiifu wa ccm.

Wa leo ngoja tuone. Naona wamechelewa kupita kiasi, kesi ilitakiwa ianze saa tatu na sasa ni saa nne kasoro...Kwasababu kesi za kubambika ni aibu tupu kama zinafuatiliwa na Taifa zima pamoja na mataifa ya nje.
Kama umemsikia shahidi wa leo hii, "terrorism" ni utalii, na "terrorist" ndio ugaidi.
Na hakuishia hapo tu kujichanganya, hata kuhusu eneo analojipambanua yeye kuwa ni mtaalam wake!

Haya tunayoyashuhudia mahakamani na hawa mashahidi ndiyo sura sahihi ya nchi yetu ilivyo sasa hivi.

Tumevurugika sana kama nchi.
 
Kwann kaka?
Naona inaenda fasta, ndani ya siku 3 mashahidi 3 washamalizika!! Sasa miezi mi4 ni siku 120, zimebaki siku 117 mpaka muda huu, ukiondoa weekends may be siku 109, sasa hizo siku 109 zina mashahidi wangapi?? And kumbuka Siyani alisema ni miezi mi4 MFULULIZO, non-stop!!
 
Kweli hawa huwa wazee wa kufuata 'order' tu...
'I have been engaged'...nimefanya uchunguzi
' terrorism '...masuala ya utalii
Nimeona bora Kaaya yy ni form 4 failure ya kata
 
Kama umemsikia shahidi wa leo hii, "terrorism" ni utalii, na "terrorist" ndio ugaidi.
Na hakuishia hapo tu kujichanganya, hata kuhusu eneo analojipambanua yeye kuwa ni mtaalam wake!

Haya tunayoyashuhudia mahakamani na hawa mashahidi ndiyo sura sahihi ya nchi yetu ilivyo sasa hivi.

Tumevurugika sana kama nchi.
Wenzetu wa mtaa wa kijani wanakenua meno TU Kwa kuwa wanashiba Kwa matendo Yao bila kujali ni ya aina Gani.
 
Wakili wa Serikali: Uliulizwa swali kwamba Katika Ushahidi wako wote hujataja Jina la Silaha aliyekamatwa nazo, Kwanini hukutaja

Shahidi: Kwanza sijui Adamoo

JAJI: mmeleta Kitu Kipya

Nafikiri ndugu shahidi aliulizwa na kibatala kuhusu Adam kusekwa na si adamoo,je adamoo kaitoa wapi???
 
Wanajamii, mbona mnajua mambo mengi wengine hatuambizani, mnatutakia mema kweli naona hamtaki tuwe wasomi kama nyie. Mimi leo ndio nimejifunza kuwa Terrorism ni maswala ya UTALII mi sikujua mwenzenu mim ni darasa la 7 mjue. kabisa kabisa sikusoma
Subiri tumuombe bwana vilipuzi atufafanulie vizuri.
 
Kama umemsikia shahidi wa leo hii, "terrorism" ni utalii, na "terrorist" ndio ugaidi.
Na hakuishia hapo tu kujichanganya, hata kuhusu eneo analojipambanua yeye kuwa ni mtaalam wake!

Haya tunayoyashuhudia mahakamani na hawa mashahidi ndiyo sura sahihi ya nchi yetu ilivyo sasa hivi.

Tumevurugika sana kama nchi.
Nchi inaendeshwa na legacy ya Mwendawazimu.. vururu vururu.
Kama haitoshi watawala wameacha kumuogopa M/Mungu na badala yake Wanaabudu maiti iliofukiwa Chato.
Tumekwama kama Taifa, na LAANAKUM.
 
Back
Top Bottom