escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
daah mkuu kumbe Mbowe ni famba tu sasa.kaka ukitaka kujua mtu ni mwerevu ama famba wala usihangaike wewe angalia matokeo yake ya kidato cha nne na sita tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daah mkuu kumbe Mbowe ni famba tu sasa.kaka ukitaka kujua mtu ni mwerevu ama famba wala usihangaike wewe angalia matokeo yake ya kidato cha nne na sita tu.
Ndivyo serikali inavyohangaika kumfunga Mhe. Mbowe. "it is an incompatible and unrealistic situation". Mda utasema.
Kipanya ujue MATAGA washaongea na kamishana wa Ardhi pale kwako pajengwe zahanati, utahamishiwa CHANIKA, we endelea, hawa jamaa hawajali mtu wala utu,haya.
Wajuzi nielewesheni, Mtobesya alikuwa hayupo wakati huyu askari anahojiwa. Nadhani Inabidi umsikilize vizuri anayehoji na majibu ya mhojiwa, then from there unaweza kum- crucify shahidi! sasa kama alikuwa CA, atawezaje kujua alihojiwa nini na amuulize nini?Wakili Peter Kibatala: Naomba kwa Ruhusa yako nimtambulishe Jeremiah Mtobesya ambaye alichelewa kwa sababu alikuwa Mahakama ya Rufaa Na ninamatambulisha kwa sababu Yeye Ndiye ataanza Maswali Kwa niaba ya Mshitakiwa wa kwanza
dah, chanika inakujaje tena hapa bwasheeKipanya ujue MATAGA washaongea na kamishana wa Ardhi pale kwako pajengwe zahanati, utahamishiwa CHANIKA, we endelea, hawa jamaa hawajali mtu wala utu,haya.
KAAYA is a man of the match lazma mam'minye pumb* , kaharibu sana ushahidi wa kutunga, hana kumbukumbu nafikiri kuberi,na ugoro anaotumia vimemzidi lakini pia tambuu na ufudu zinazidi kummaliza kaaya😀hambi ya ushahidi wa uongo atachuma yey na kizazi chake cha nne pale AKHERI KATI.sasa ushahidi wa kushuhudia ndiyo umekwisha kwa upande wa mashitaka ... hawa wa ballistic and so on hawana kipya zaidi ya alicholeta Kingai, Mahita na Power drink Kaaya
Shida yako ni nini wewe wakala wa shetani?Mbowe atafungwa furahi bassitatizo mnao ripoti kesi hii ya mbowe mnaingiza ushabiki, hivyo mnapotosha ukweli wa kile kinacho jiri mahakamani.
ni bora mkakaa kimya tu.
maana mahakamani huwa sio sehemu ya ushabiki, ni ushahidi tu.
Kuna Organic, Inorganic na Physical chemistry... sasa huyu jamaa yako fundi wa vilipuzi vituo vya mafuta na kuosha bunduki kwa spriti soon anakwenda kufanya Inorganic chemistry paper II - ataomba wamuwashie fen.Inorganic chemistry tena? Kwani Inorganic chemistry paper II ikoje? misemo ya nyinyi vijana nimetoka kapa!
2004 sio 2014 fuatilia vizuri nduguShahidi amekuwepo serikalini tangu 2014 lakini kuna kozi ya upolisi amehudhuria Botswana mwaka 2010!! Ohh, baraaaa
Mkuu kwenye haki hata phd haiwezi kuishinda darasa la saba aliyefeli.Wanatishia na elimu kwahivo vikozi vifupifupi eti ukasoma wapi? wapitena? Hahahhhaaah...!!
Wote hao wamefeli form four na wengi hata darasa la saba walifeli
Sasa mnawaonea kuhojiwa namtu smart alopiga madivisheni wani mwanzo mwisho kama wakili msomi kibatala.
Mashahidi wao wengi hawanashule wanaiaibisha serikali.
Huyu wa leo ndo kaharibu kabisa,yani anaulizwa terrorism ni nini yeye anajibu ni maswala ya utalii,like seriously? 🤣 🤣 Hii nchi ina watu wa aibu sanaKAAYA is a man of the match lazma mam'minye pumb* , kaharibu sana ushahidi wa kutunga, hana kumbukumbu nafikiri kuberi,na ugoro anaotumia vimemzidi lakini pia tambuu na ufudu zinazidi kummaliza kaaya😀hambi ya ushahidi wa uongo atachuma yey na kizazi chake cha nne pale AKHERI KATI.
angekuwa kilaza angekuwa anawatoa kijasho ya makwapa.daah mkuu kumbe Mbowe ni famba tu sasa.
Shahid kakiri mahakamani chini ya kiapo kaanza kazi 2013,na kasema ni sahihi kabisa.Alipoulizwa kuhusu experience yake ya upolisi kasema ana miaka 18-Shame2004 sio 2014 fuatilia vizuri ndugu
Wallah hii ni aibu kubwa sana kama taifa 🤣 🤣Chukua hiyo
Na Mimi nilikuwa nasubili Ilo eneo naona mwamba kamezeshwa mengine ebu ngoja tuone.Kama ikiwezekana defense wangejaribu to determine ownership of the firearm kutoka kwa manufacturer. Ie where was sold and to whom. You might find it originated from some armoury
si umesema tuangalie matokeo ya form 4 na 6? Au hujui Chameni Mbowe alipata matokeo gani hukoangekuwa kilaza angekuwa anawatoa kijasho ya makwapa.