Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

Wakili Peter Kibatala: Naomba kwa Ruhusa yako nimtambulishe Jeremiah Mtobesya ambaye alichelewa kwa sababu alikuwa Mahakama ya Rufaa Na ninamatambulisha kwa sababu Yeye Ndiye ataanza Maswali Kwa niaba ya Mshitakiwa wa kwanza
Wajuzi nielewesheni, Mtobesya alikuwa hayupo wakati huyu askari anahojiwa. Nadhani Inabidi umsikilize vizuri anayehoji na majibu ya mhojiwa, then from there unaweza kum- crucify shahidi! sasa kama alikuwa CA, atawezaje kujua alihojiwa nini na amuulize nini?
 
sasa ushahidi wa kushuhudia ndiyo umekwisha kwa upande wa mashitaka ... hawa wa ballistic and so on hawana kipya zaidi ya alicholeta Kingai, Mahita na Power drink Kaaya
KAAYA is a man of the match lazma mam'minye pumb* , kaharibu sana ushahidi wa kutunga, hana kumbukumbu nafikiri kuberi,na ugoro anaotumia vimemzidi lakini pia tambuu na ufudu zinazidi kummaliza kaaya😀hambi ya ushahidi wa uongo atachuma yey na kizazi chake cha nne pale AKHERI KATI.
 
tatizo mnao ripoti kesi hii ya mbowe mnaingiza ushabiki, hivyo mnapotosha ukweli wa kile kinacho jiri mahakamani.
ni bora mkakaa kimya tu.
maana mahakamani huwa sio sehemu ya ushabiki, ni ushahidi tu.
Shida yako ni nini wewe wakala wa shetani?Mbowe atafungwa furahi bassi
 
Inorganic chemistry tena? Kwani Inorganic chemistry paper II ikoje? misemo ya nyinyi vijana nimetoka kapa!
Kuna Organic, Inorganic na Physical chemistry... sasa huyu jamaa yako fundi wa vilipuzi vituo vya mafuta na kuosha bunduki kwa spriti soon anakwenda kufanya Inorganic chemistry paper II - ataomba wamuwashie fen.
 
Wanatishia na elimu kwahivo vikozi vifupifupi eti ukasoma wapi? wapitena? Hahahhhaaah...!!
Wote hao wamefeli form four na wengi hata darasa la saba walifeli

Sasa mnawaonea kuhojiwa namtu smart alopiga madivisheni wani mwanzo mwisho kama wakili msomi kibatala.

Mashahidi wao wengi hawanashule wanaiaibisha serikali.
Mkuu kwenye haki hata phd haiwezi kuishinda darasa la saba aliyefeli.


Hawa kwa kua tu wanamamlaka baaaaaasi.
 
KAAYA is a man of the match lazma mam'minye pumb* , kaharibu sana ushahidi wa kutunga, hana kumbukumbu nafikiri kuberi,na ugoro anaotumia vimemzidi lakini pia tambuu na ufudu zinazidi kummaliza kaaya😀hambi ya ushahidi wa uongo atachuma yey na kizazi chake cha nne pale AKHERI KATI.
Huyu wa leo ndo kaharibu kabisa,yani anaulizwa terrorism ni nini yeye anajibu ni maswala ya utalii,like seriously? 🤣 🤣 Hii nchi ina watu wa aibu sana
 
1635506968531.png

Chukua hiyo
Terrorism = Maswala Utalii 😀
 
Na
Kama ikiwezekana defense wangejaribu to determine ownership of the firearm kutoka kwa manufacturer. Ie where was sold and to whom. You might find it originated from some armoury
Na Mimi nilikuwa nasubili Ilo eneo naona mwamba kamezeshwa mengine ebu ngoja tuone.
 
"Mallya: Wakati unaelezea ushahidi wako ulitueleza kwamba wakati unapokea ulivaa gloves na vifaa vingine.

Shahidi: Hayo ni mambo ya kawaida sana. Siwezi kueleza kila kitu hapa kwamba nilivaa miwani, gloves na hijabu.

Mallya: Mheshimiwa Jaji, naomba ajibu swali langu."

Shahidi wa leo ana jazba sana, halafu anaonekana ni mtu jeuri na mwenye kiburi....
 
Back
Top Bottom