Nimeamini linaweza kutumika ,maana kama wenzao wa ngerengere walishiriki kumtesa luteni urio hawashindwi kufoji hats documentsJeshi lipi unaloliongelea? Hili ambalo huwa wanafanya operesheni za usafi kukiwa na maandamano au jingine?
Samahani boss huyu sele kakufanyia nini? Mbona umekuwa ukiweka mawasiliano yake humu JF shida nini hasa? Sio mara ya kwanza nikiona ukifanya hivi.Hao tayari walikuwa wapo nje ya jwtz kwa sababu mbalimbali hawakuwa watumishi wa jwtz mpaka kipindi uonevu wa kuwabambikia kesi unaanza, isipokuwa huyo mmoja LT urio yeye bado alikuwa bado ni Mtumishi huku akituhumiwa kufanya connection ya hao Asikari kupelekwa kwa mbowe, kwa kifupi hao walinzi wa mbowe siyo magaidi bali wamebambikiwa kesi kwa lengo la kumdhoofisha mbowe na chadema kwa ujumla mpigie sele 0787132277 au 0715132277 akupe full story
Duuuh nawewe kumbe unajua Kuna kufa,maana unavyojitukuza utafikiri hutakufa na uko sawa na Mungu.Nani walimfunza sasa kama siyo CCM- Mungu alituumba na katupa kifo pia
Lt Urio hana kosa ameonewa zaidi kwani yeye alimpa walinzi mbowe baada ya kuombwa Asikari wa kumlinda hakujua kuwa huko mbeleni hao walinzi wa mbowe watakuja kubambikiwa kesi za uongo kwa mbinu za Sabaya na Polisiccm wasio na ubinadamuNimeamini linaweza kutumika ,maana kama wenzao wa ngerengere walishiriki kumtesa luteni urio hawashindwi kufoji hats documents
Imewahi, inajulikana.Ila haijawahi kuwekwa uchi kama kwenye hii kesi
Sele ni chadema hana wasiwasi na lolote mpigie atakupa taarifa zote endapo unataka chochote cha siri za ndaniSamahani boss huyu sele kakufanyia nini? Mbona umekuwa ukiweka mawasiliano yake humu JF shida nini hasa? Sio mara ya kwanza nikiona ukifanya hivi.
Hiki unachofanya sio kitu kizuri.
Kesi ya uonevu nafsi zao zinawasutaNaona mawakili wa serikali wana pungua tuu..
Hapana kwa kweli.Sele ni chadema hana wasiwasi na lolote mpigie atakupa taarifa zote endapo unataka chochote cha siri za ndani
Updates vp?Naona mawakili wa serikali wana pungua tuu..
Una agenda ya siri wewe sio bure. Huwezi kuanika mawasiliano ya mtu hivi bila kuweka uthibitisho kuwa ameridhia ufanye hiviSele ni chadema hana wasiwasi na lolote mpigie atakupa taarifa zote endapo unataka chochote cha siri za ndani
Aisee ...kamgogolo flani kwa mbaaali..NINI KILIKUWA KINAENDELEA JESHINI?
Je ndani ya jeshi kulikuwa na fukuto kuhusu mustakabali wa nchi kuendelea kutawaliwa na CCM?
Hii kesi inaibua mengi mtambuka kuhusu wanajeshi kuwekwa mahabusu na kuteswa
Kuna Laki 3 tena Mkuu..haipo...FuatiliaHivi yule shahidi aliyekwapua 260,000 kutoka mfukoni mwa mtuhumiwa atairudisha?
Du!!Kuna Laki 3 tena Mkuu..haipo...Fuatilia
Inamaana huyo Denis urio bado yupo kazini hadi leo amaHata hivyo hawa Wajeda kuna siku huko mbeleni watatoa malipizi dhidi ya wenzao. Hawa jamaa huwa visa vyao haviishi hadi pale watakapolipiza.
Sasa ni nani aliyeyevujisha iyo siri ya mbowe kupatiwa walinzi na LT UrioHapo ndipo kuna utata mkubwa na pia yasemekana Lt Urio ameteswa kwa uonevu kisa kuwa na undugu na mbowe na kusaidia kumpatia walinzi ambao walikuwa watumishi wa jwtz awali kabla ya kuachishwa kazi
kwa kifupi hao walinzi wa mbowe siyo magaidi bali wamebambikiwa kesi kwa lengo la kumdhoofisha mbowe na chadema kwa ujumla mpigie sele 0787132277 au 0715132277 akupe full story
Ila akifa wanakuja kumzika na gwaride, yu hai ananig'inizwa wanaangalia, sielewi!Mabeyo kawaacha wanajeshi wake wanateswa kizembezembe na Polisi.Bila Shaka Luteni Urio alikuwa Bado yupo kazini.
Kaka huwa unanifurahisha sana unapompamban sele π π πSele ni chadema hana wasiwasi na lolote mpigie atakupa taarifa zote endapo unataka chochote cha siri za ndani