Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi - 27/09/2021

Japo inachosha Ila umeitendea haki ktk kutuhabarisha kana kwamba court rum inabeba maelfu ya watu kwa jinsi tulivyohabarishwa na ikizingatiwa kesi hii inabeba maslah mapana ya Tz

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe naye aliwekwa ndani maskini dhambi ya unafiki

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Alafu jamaa hawakutegemea kabisa kama shahidi wa leo anaweza kuwa alishuhudia Urio akipewa mateso.

Imagine Urio ni Luteni wa jeshi ametendwa namna hiyo.

Wapishi wa hii kesi na DPP wasipokua makini wanaweza kusababisha mgogoro mkubwa baina ya haya majeshi.
 
Wakati shahidi namba mbili na mshitakiwa namba tatu Mohammed Abdilah Ling'wenya wa kesi ndogo katika kesi ya Ugaidi inayowakabili kina Mbowe alimtaja Mosses Lijenje kudaiwa kutupwa na polisi wakati akifanyiwa vitisho.

Mallya: Kitu gani Kiliendelea..?

Shahidi: Maaskari wakasema Mwenzenu Moses Lijenje tumeshamtupa, Ameshatangulia huku wakinigusa Kichwani na Kitu nilichokuwa nahisi kuwa ni Bastola, Ukileta Ujanja Ujanja na wewe tunakutupa

Mallya: Maneno haya ulikuwa unaambiwa wakati gani wakati wa Safari au baada ya Kufika


Huyu Moses Lijenje ni nani?

Je yupo wapi?

Je yupo hai?

Je anahusika vipi na hawa makomando?

Je anahusika vipi na hii kesi ya Mbowe?

Shahidi anaposema polisi kudai wameshamtupa wanamaanisha nini?

Hili limeniacha na maswali mengi sana ya kutafakari.
 
Hata hivyo hawa Wajeda kuna siku huko mbeleni watatoa malipizi dhidi ya wenzao. Hawa jamaa huwa visa vyao haviishi hadi pale watakapolipiza.
 
Tusimwamini sana huyu jaji, maana mahakama ni genge la Ccm. Tutaona jaji ana fuata kanuni, kumbe hukumu ina andikiwa Ikulu. Tusishangae maana kura tuna piga sisi lakini washindi huamuliwa na tume.
 
Kwa wale ambao hamjui shahidi alivyosema "killing zone" ndiyo hii - mateso yake ni ya namna hiii - ukivumilia dakika 30 we ni kidume kweli kweli.. Nafikiri kati yao Adamoo atakuwa kapitia mateso makali mno.

God have mercy!

Haya yanatokea Tanzania? Nchi yenye "amani" kama hii?

Tumefikafikaje hadi kwenye hali kama hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…