Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi - 27/09/2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi - 27/09/2021

Ila ni wapuuzi sana, kumbe jamaa walikuwa hata kazi ya kumlinda Mbowe hawajaanza? Mi bado najiuliza sijui watathibitisha vipi huo ugaidi zaidi ya yale maelezo ya kulazimisha.
naanza kupata picha kwanini General Hamza aliamua kujitoa mhanga kuwapiga risasi Hawa nduli halafu inaonekana tabia zao ni Moja Hawa,
Wapuuzi Kabisa wanaanza kutoa hukumu kabla ya mahakama kuthibitisha na kusababisha raia waumie pasipo kutendewa haki!
 
Mshtakiwa No. 2 kaipa mwanya Serikali, kawega ugumu wa kesi kwa Mbowe, amedhiilisha kuwa wamekaririshwa tena akihojiwa na wakili wake! Wampange vizuri ama sivyo upande wa mashtaka watakapo mchalange atayumba sana.
Unamanisha shahidi wa pili au sio? ?

Ni mshtakiwa wa 3
 
wakililzwa watamwambia Jaji kwamba bado walikuwa wanakusanya upelelezi, sheria za nchi yetu hazijaweka time limit ipi upelelezi uwe umekamilika - hapa ndipo tatizo lilipo.

Unaweza kukamatwa leo na upelelezi ukaendelea hata miaka 2.
Ishu ya upelelezi kuendelea sio shida. Kuna cold cases zinapelelezwa miaka 30 ndo zinatatuliwa. Kwahiyo wala sio jambo la ajabu kisheria. Na haiwezekani kuwe na sheria ya kulimit muda wa upelelezi

Ila ishu ni kwamba mtu asikamatwe kama upelelezi haujakamilika
 
Hiki kituo ni kwa kazi maalum !! kimya kimya wanaume wanalia aisee !!
Inachonishangaza ni kwamba na yule Urio aliyemchoma mbowe kwenda kuripoti kwa DCI naye walimtesa wakamuingiza humo humo😂😂😂😂
 
Mimi nilidhan Denis urio alikua ndumilakuwili, kumbe naye alichezea kichapo akalazimishwa kwa nguvu ,

Kuna haja mkuu wa majeshi atueleze, inakuwaje watu wake wapitie mambo mazito af yeye amekaa kimya, au ndo walewale?!
Hahaha ha ndo nimeshangaa jamaayao ambaye wameprint watsap chat zake kama ushahidi kumbe pamoja na kuripoti nae alichezea😂😂
 
Mashahidi wamegeuzwa kuwa wahalifu mbele ya mahakama. Kweli Kibatala ni Pilato.

Nasubiri siku HAIJIPII Zerro anasimama kizimbani kutoa ushahidi, atakachofanywa na Kibatala siku hio ataimba wimbo wa PGA usio na kiitikio.
Hv ni lazima afike au anaweza kutofika?!
 
Picha linazidi funguka kumbe urio alikula kichapo...
Dah huyo ma hita kama baba kama mtoto...
Mungu yupo lakini wasijisahaulishe.
Sasa mwenye akili keshaelewa duh!!
tunaomba somo la dini liwe lazima CCP at least Mungu aogopwe
 
Ishu ya upelelezi kuendelea sio shida. Kuna cold cases zinapelelezwa miaka 30 ndo zinatatuliwa. Kwahiyo wala sio jambo la ajabu kisheria. Na haiwezekani kuwe na sheria ya kulimit muda wa upelelezi

Ila ishu ni kwamba mtu asikamatwe kama upelelezi haujakamilika
kwahiyo aachwe mtaani andelee kuumiza raia wasiokua na hatia et kwa kua upelezi haujakamilika
 
Back
Top Bottom