Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
naanza kupata picha kwanini General Hamza aliamua kujitoa mhanga kuwapiga risasi Hawa nduli halafu inaonekana tabia zao ni Moja Hawa,Ila ni wapuuzi sana, kumbe jamaa walikuwa hata kazi ya kumlinda Mbowe hawajaanza? Mi bado najiuliza sijui watathibitisha vipi huo ugaidi zaidi ya yale maelezo ya kulazimisha.
Wapuuzi Kabisa wanaanza kutoa hukumu kabla ya mahakama kuthibitisha na kusababisha raia waumie pasipo kutendewa haki!