Kwa nini kama? ndo hivyo walivyo!!!kama Interahamwe militias
Polisi wetu wanafanya kazi kama Interahamwe militias.
Hawa polisiccm ni zaidi ya ma intaharamwe.Polisi wetu wanafanya kazi kama Interahamwe militias.
... naona umeamua kuja na version yako kutoka viunga vya Lumumba!Kibatala;
Kitendo cha Kugongwa gongwa na Bastola na kukwambia watakutupa,Je tishio liliongezeka Moyoni Mwako kutokana na yalivyo kuwa yameshatokea kabla.....
Siyo siri kuwa watanzania walio wengi tumekwisha kuonjeshwa shubiri na polisi hata pasipokuwa na uhalali wowote.
Hivi viongozi wa akina Kingai au Mahita tokea juu hadi chini kwa hali hizi:
View attachment 1955840
wangali maofisini wakimtumikia nani?
Watuhumiwa hawakupewa chakula kwa siku 10?!
Hivi, yuko wapi Mosses Lijenje?
Yuko wapi Dennis Urio?
Siyo sababu kama hizi kweli zinazopelekea watu kama huyu kuchukua sheria mikononi?
View attachment 1955842
Kamanda Sirro utajificha wapi na aibu hii?
Pongezi za dhati ziwafikie makomandoo wa 92KJ. Kwa hakika ni wazalendo kweri kweri.
Ndiyo maana hawakuona ubaya wa kutoa ulinzi kwa mwenyekiti Mbowe.
Kwa hiyo afwandi Sero aelewe ni akina nani ni watu wa "hovyohovyo"?ππππNarudia tena kwenu nyie vijana ambao hamjaoa binti wa polisi hata awe pisi kali namna gani msioe ili kuepusha uzao wako na laana.
Hiyo picha inanichefua sana!Siyo siri kuwa watanzania walio wengi tumekwisha kuonjeshwa shubiri na polisi hata pasipokuwa na uhalali wowote.
Hivi viongozi wa akina Kingai au Mahita tokea juu hadi chini kwa hali hizi:
View attachment 1955840
wangali maofisini wakimtumikia nani?
Watuhumiwa hawakupewa chakula kwa siku 10?!
Hivi, yuko wapi Mosses Lijenje?
Yuko wapi Dennis Urio?
Siyo sababu kama hizi kweli zinazopelekea watu kama huyu kuchukua sheria mikononi?
View attachment 1955842
Kamanda Sirro utajificha wapi na aibu hii?
Pongezi za dhati ziwafikie makomandoo wa 92KJ. Kwa hakika ni wazalendo kweri kweri.
Ndiyo maana hawakuona ubaya wa kutoa ulinzi kwa mwenyekiti Mbowe.
Waiwona winyaa?Hiyo picha inanichefua sana!
Subirini watokeKunyooshwa kivipi wakati polisi wameshatoa dozi ya maana kwa hao wavunja tofali(makomando bandia).
Hiyo picha inanichefua sana!
Huyo ndiye mwanaccm halisi aliyejitambua na kuchukua hatua sahihi za kuwatia adabu Polisiccm!Hiyo picha inanichefua sana!
Tafuna limao na maganda yake Bwashee.Hiyo picha inanichefua sana!
I shot the sheriff.But I didn't shoot the deputy!ππππHuyo ndiye mwanaccm halisi aliyejitambua na kuchukua hatua sahihi za kuwatia adabu Polisiccm!
Bwashee picha ya kada inakuchefua tena au inakuumiza kwa kukukumbusha machungu?Waiwona winyaa?