Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa - 28/09/2021

huyu Athma alindwe, mahakama inaweza kumuita aje kutoa ushahidi kama itaona ni vyema.
Mahakama huwa haiti mtu kuwa shahidi- ama anaitwa na upande wa mashtaka au wa utetezi
 
Mallya: Kuna Taarifa tunayo tangu tuseme Kuwa Kuna Mashahidi ambao wapo Jeshini, Wapo Wanajeshi wawili wameshaitwa Kutishiwa wasije kutoa Ushahidi.
Ni nani anawatishia wanajeshi? anafahamu athari zake,? ni kweli mna Mamlaka lkn hapa mmeenda vibaya!!!
Serikali msituingize kwenye matatizo.... DPP withdraw hii kesi kuna jambo mnalipanda sasa litaleta very bad consequence muda si mrefu!!!
 
Oooh basi akae milele huko tujue mengi
Huoni watu wamepata nafasi ya kujua mengi kuhusiana na utendaji wa vyombo vyetu vya dola. Ni rahisi kumnyooshe kidole Kagame kumbe na sisi tumo!!
 
Naona wakili wa serikali kaamua kuuliza mambo ya kijeshi tuu kaachana na maswali ya ugaidi[emoji102][emoji102]
 
Hili Gaidi lingeachiwa liendelee kumbe lingetuletea madhara makubwa sana bora vyombo vyetu vimelikabili.
na pia lilifanikiwa kupandikiza mbegu za kigaidi kwa wananchama wake.
nao wanapaswa wafuatiliwe nyendo zao.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nakuonea huruma Yani kwenye Uzi huu umecomment shombo zaidi ya Mara 3 Ila wanajukwaa wamekupuuza inauma Sana pole Sana
 
Oooh basi akae milele huko tujue mengi
Wanawake wengi wa JF wako vizuri sana upstairs, ila wewe si mmoja wao. Na katika hili, utanisamehe sana kama nitakua nimekukwaza.

Kama ungekua ndiyo wewe, ungekubali kukaa jela milele kwa kosa la kusingiziwa/kubambikiwa? Yaani uache familia yako, maisha yako mazuri uraiani, then ukaishi maisha ya mateso jela, kwa lengo tu la kujua mengi ya huko?
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚umepanic bahati nzuri sinaga shobo za kuitwa nipo vizuri upstairs kwa kifupi mie sio NYUMBU

Kama kasingiziwa mahakama itamuachia kwa sasa yupo jela so hajasingiziwa wala hajaonewa

NB:Hao wanajeshi waliotimuliwa jeshini mnawakusanya wa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ