Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa - 28/09/2021

Huyo wakili wa serikali Chavula inaonesha anajua sana kukazwa.
Wenzake wote wamesikia neno "mikazo".
Lakini yeye anaulizwa na jaji, umesikiaje? anajibu nimekazwa.

Jaji anamwambia ukirudia tena nitakutafsiri vibaya.
 
Kwani Mbowe kakamatwa lini? Na ni nani alisema kuwa Mbowe na wenzake wanatumikia kifungo?

Hupaswi kuwa na hasira na mtu mpaka ukashindwa ku reason kawaida tu. Magufuli hayupo. Waliopo warekebishe ambayo aliyakosea.
wee hushangai nchi nzima magaidi watatu tu. upelelezi woote tangu mwaka jana watatu tu tena kwa ufadhili wa laki sita.
Huoni kuwa kimantiki ni maelekezo ya mtu mkubwa? tena lengo kuu likiwa kuangamiza upinzani kuanzia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019. Huu ulikuwa mpango mkakakati na hii ni aibu tupu
 
Huko waliko hata chakula hawali na usingizi hawapati.
Wazee wa escrow na uhamsho wamewabambika wakawaachia.
Ukiona kesi yeyeto imekaa miaka bila ushahidi na mtu yupo ndani Hakuna kesi hapo ni mbambiko wa kukomolewa utoe kitu ununue UHURU wako.
Walipoona wazee wa escrow wataambulia patupu baada ya wazee kukaza wakawatema.
 
True alikufa yule aliyepigana kufa upinzani ufe sembuse hawa
 
Hakuna mwanaume anaweza kuishi bila kula chakula kwa muda wa siku kumi mfululizo. Kiwango cha mwisho mwanaume kuishi bila chakula ni siku nane tu, kwa mwanamke siku kumi na nne hadi ishirini na moja. Endapo mtu hatapata chakula na maji kwa muda wa siku tatu au nne mfululizo itakuwa ndio chanzo cha kifo chake. Kwa hiyo huyo shaihidi ni mwongo. Inawezekana waliomshikilia mahabusu hawakumpelekea chakula ila mahabusu wenzio waligawana naye kusukuma siku.
 
😏
 
Wewe ni mwanaume mdebwedo sana. Amekwambia kwenye chumba alichokuwamo kulikuwa na maji.
 
Mkuu alikufa Jiwe aliyelaaniwa na hizi ndio laana zinamfata. Mbowe pale alopo anafuraha kuona kinachoendelea kinakuwa wazi. Tusingejua
 
Shukuruni Mungu mashujaa wa JWTZ wameamua kuwa watulivu. Wakiamua hivyo vijamaa vyenu vitalamba mchanga kwa kutumia vijambio

Au umesahau Hamza alichowatendea
Endelea kujidanganya.Kuna watu wakalia mb[emoji57][emoji12] hiyo siku polisi wababe sana.
 
Huyo wakili wa serikali Chavula inaonesha anajua sana kukazwa.
Wenzake wote wamesikia neno "mikazo".
Lakini yeye anaulizwa na jaji, umesikiaje? anajibu nimekazwa.

Jaji anamwambia ukirudia tena nitakutafsiri vibaya.
Huyu jaji anaonekana mselamsela sana
Jaji yupo vzr,anaendesha kesi vzr sana
 
Hilo zee na huyo mama lao moja, wote watajibu mbele ya Muumba! Siku itafika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…