huyu Athma alindwe, mahakama inaweza kumuita aje kutoa ushahidi kama itaona ni vyema.Shahidi: Ndiyo ningejisikia Vizuri kama Dada yangu angekwepo
Jaji: unamaanisha Athma
Shahidi: Ndiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu Athma alindwe, mahakama inaweza kumuita aje kutoa ushahidi kama itaona ni vyema.Shahidi: Ndiyo ningejisikia Vizuri kama Dada yangu angekwepo
Jaji: unamaanisha Athma
Shahidi: Ndiyo
Wasiojulikana
Wakala wa shetani!Kuna aliyeita kule CCM Kuna magroup mengi na Kuna kazi za kufanya nenda hukuHuyo gaidi anatupotezea muda afungwe haraka miaka 50
Kunyooshwa kivipi wakati polisi wameshatoa dozi ya maana kwa hao wavunja tofali(makomando bandia).Daadeki... hii kesi inavua boxer za jeshi la polishi...
Haya majamaa ni maonezi sana, acha yanyooshwe na makomandoo wa JWTZ
Leo nimejua kitu tunafanyiwa na police kutekwa badala ya kukamatwa mungu anawaona utofauti wakionyesha warrant of arrestHuyo gaidi anatupotezea muda afungwe haraka miaka 50
😂😂😂Twende kazi......!! Tuko huku vijijini, lakini bado tunafuatilia jambo hili kwa ukaribu wa kipekee, huku tukitambua fika #Mbowe siyo Gaidi#
Yaani hii polisi ilivyo ya kigaidi na inavyohaha ,inaweza hata kuanza kuua mashahidi
Francis umeturostisha watoto wa mjini vijana wanasemaYaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Leo 28-09-2021
Updates......
Kwani Mbowe kakamatwa lini? Na ni nani alisema kuwa Mbowe na wenzake wanatumikia kifungo?Haya yote yamesababishwa na lile zee lenu lililoonyeshwa njia na mdudu wa 19.
Mama wa watu anaonekana mbaya sababu ya dhambi ya lile jinga