Asingeuza mbege angekua yupo sekta ya juu sana maana shuleni angekua anakimbiza wenzie kwa ufaulu wa kukaririKwamba Askari alitaja namba ya silaha na huyu shahidi akaikariri.....ngoja apigwe maswali baadae akome
Hapo sijui chura ipo au
Dah ndio nini sasa kunivunja mbavu?Asingeuza mbege angekua yupo sekta ya juu sana maana shuleni angekua anakimbiza wenzie kwa ufaulu wa kukariri
Kuna picha nimeiona ni kibibi sio kama hiyoHapo sijui chura ipo au
Sura safi
Ova
Shahidi namba 4 kashamkana shahidi namba 1 ambaye ndiye alikuwa kiongozi wa ukamataji wa watuhumiwa.
Shahidi namba 4 anasema Jumanne ndiye alikuwa kiongozi, wakati shahidi namba 1 alidai yeye ndiye alikuwa kiongozi.
Patamu hapoooo
Mmeanza mada zenu pendwa TSS
Huyu baadae atakimbia ty lazima aingie period leoWanawake tunajua kusema uongo. Kweli sisi ni viumbe hatari zaidi duniani mpaka naona aibu [emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee ana kipaji huyu mama.Huyu baadae atakimbia ty lazima aingie period leo
Hawezi kua tiss kamwe.
Ogopa sana kuingia kwenye 18 za hawa Mawakili Wasomi! Mallya, Kibatala, Mtobesya, et al!!! Yaani maswali yao, ni lazima tu yakutie kitanzini!Kingai alisema yeye ndiye aliyekuwa kiongozi kwenye ukamataji nk...Shahidi huyu anatofautiana naye!
Mallya: Kwenye Maelezo Yako umeeleza Mahali Kiongozi wao, Afande nani
Shahidi: Afande Jumanne
Mallya: akitokea Mtu akisema yeye ndiyo Kiongozi aliyekwepo atakuwa Muongo
Shahidi: Ndiyo
Mallya: Unamfahamu Kingai
Shahidi: Hapana
Wafariji wenzenu akina TLPHii kesi iwe fundisho kwa vyama vingine ambavyo badala ya kufanya kazi za siasa, vinajigeuza kuwa Genge la kihalifu.
inapaswa kujitathimini kila wakati.
Hakuna TISS hapo labda informer tu.
Mambo ya kijinga snAmina. Ushahidi wakuchonga umemdhalirisha huyu mama. Mungu ni mkubwa. Ngoja iendelee kunyesha tuone panapovuja.
Tayari wamegundua sahihi zake hazifanani, alipoulizwa kajibu eti akikaa chini na akiwa kasimama sahihi zinakuwa tofauti...Atapata tabu sana kwa Malya na Kibatala
We mwenye ushahidi wa ukweli umeshindwa nini kuupelema mahakamani? nyie ndo mnaodai mnapenda haki? mbona hamzingatii haki za mashahidi? ushaona upande wa pili wakimdhihaki mke wa yule "komandoo" humu? acheni mahakama ifanye kazi yake.Anita kwa uongo huo, unajilaani wewe na kizazi chako !! acha kabisa kutoa ushahidi wa urongo kwa mambo ambayo mshitakiwa hakutenda, ni laana mbaya sana unajitafutia, hizi Serikali za nchi zinapita tu ila laana itakuwa ndani yako na uzao wako, walio karibu na wewe wakwambie mapema.