Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

Je akitokea kiongozi mwingine atakuwa muongo ?

Shahidi : ndio

Kingai na mahita Wana Hali ngumu Sana kwa ushahidi huu wa kutunga...

Shahidi namba 4 kashamkana shahidi namba 1 ambaye ndiye alikuwa kiongozi wa ukamataji wa watuhumiwa.

Shahidi namba 4 anasema Jumanne ndiye alikuwa kiongozi, wakati shahidi namba 1 alidai yeye ndiye alikuwa kiongozi.

Patamu hapoooo
emoji23.png
 
Kingai alisema yeye ndiye aliyekuwa kiongozi kwenye ukamataji nk...Shahidi huyu anatofautiana naye!

Mallya: Kwenye Maelezo Yako umeeleza Mahali Kiongozi wao, Afande nani

Shahidi: Afande Jumanne

Mallya: akitokea Mtu akisema yeye ndiyo Kiongozi aliyekwepo atakuwa Muongo

Shahidi: Ndiyo

Mallya: Unamfahamu Kingai

Shahidi: Hapana
 
Ogopa sana kuingia kwenye 18 za hawa Mawakili Wasomi! Mallya, Kibatala, Mtobesya, et al!!! Yaani maswali yao, ni lazima tu yakutie kitanzini!

Huyu Muuza mbege na rafiki mkubwa wa Mzee Mgaya aka johnthebaptist, leo atajuta kuwafahamu hawa Mawakili Wasomi.
 
Hii kesi iwe fundisho kwa vyama vingine ambavyo badala ya kufanya kazi za siasa, vinajigeuza kuwa Genge la kihalifu.
inapaswa kujitathimini kila wakati.
Wafariji wenzenu akina TLP
 
Anita kwa uongo huo, unajilaani wewe na kizazi chako !! acha kabisa kutoa ushahidi wa urongo kwa mambo ambayo mshitakiwa hakutenda, ni laana mbaya sana unajitafutia, hizi Serikali za nchi zinapita tu ila laana itakuwa ndani yako na uzao wako, walio karibu na wewe wakwambie mapema.

2983906_Shahidi_wa_Leo_Kesi_ya_Mbowe_ni_Muuza_mbege_Rau_madukani2C_uyu_leo_akikutana_na_fundi_kibatal...jpg
We mwenye ushahidi wa ukweli umeshindwa nini kuupelema mahakamani? nyie ndo mnaodai mnapenda haki? mbona hamzingatii haki za mashahidi? ushaona upande wa pili wakimdhihaki mke wa yule "komandoo" humu? acheni mahakama ifanye kazi yake.
 
Back
Top Bottom