Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

1. Mkataba wa Mwenye Nyumba na Mpangaji Upo?
2. Leseni ya Biashara (Kuuza Vileo) anayo?
3. Wakati wanasajili laini za simu walitumia vitambulisho? Na je kati ya mali zilizokamatwa vitambulisho vilikuwepo?
 
Mungu hashindwi kuwaanika wenye nia ya kutendea wenzao mambo au masuala yasiyo na ukweli
 
Ukifuatilia kwa umakini pamoja na pesa ambazo polisi either wamejisahau kuandikisha au Ni makusudi wakaamua kuzisunda mfukoni hapa Wakili Mallya anamkumbusha shahidi kwamba ili uweze kusajili line inatakiwa uwe na kitambulisuo na katika mali walizokutwa nazo in possession hakuna vitambulisho walivyokutwa navyo halafu Wakili msomi akaacha hewani to be used at the time of submission

Kwahiyo Wakili wa Serikali alirudi kwa reexamination lazima at skip the fact.

Mallya
Kuwa Usajili wa Simu unafanya kwa Kitambulisho?

Shahidi: Ndiyo

Mallya: na wewe Uliwaona watu waliopo Mahakamani walikuwa wanasajili Line za simu

Shahidi: Ndiyo

Mallya: Kwenye Maelezo Yako kuna sehemu umesema Wanasajili lini?

Shahidi: Hakuna

Mallya: pale Rau Bia wanauza au Bure?

Shahidi: Wanauza

Mallya: Wakati mnawapekua Mliwakuta na Bastola na Siyo Pesa

Shahidi: Hakuwa na Pesa

Jaji: Watakuwa walishalipaaaaaa

MAHAKAMA kichekoooooo
 
Nimejiongeza zaidi kwa utafiti kwenye internet na sasa nina suspicion huyu Mtalo ni mnyarwanda. Ona habari za mwingine hapa:
Majina ya wanafamilia yanajieleza kwenye hiyo sehemu ya acknowledgement
 
Polisi kweli imeishiwa mashahidi. Kesho nadhani italeta mfanyabiashara wa pombe aina ya gongo.


Nimesikia kuna mbege inalewesha na nyingine haileweshi....shahidi muuza mbege atakuwa alikunywa inayolewesha kaba hajatinga mahakamani.
 
Matumiza mabaya ya rasilimali za Taifa. Siro na kundi lake wana takiwa kushtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumi. Yaani mashahidi hawajui wanacho ongea mahakamani.
 
Mr DJ, na genge lake ni magaidi Over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…