naomba kujua sababui za kuficha uso na wakati huohuo unajitambulisha kwa majina kamili nk.
Huwa mnakenua meno hivi hivi alafu mkipigwa na vitu vizito mnaanza kulia!
Yani mnafurahia hizo porojo za kina kibatala wenzenu kuna vitu wanangalia zaidi ya hizo porojo
Labda wataleta shahidi mpika gongo.Serikali Ina Mashahidi Wangapi? Nafikiri na ni sahihi kwamba Baada ya Kingai, Yule msaidizi wa Sabaya na Yule wa Kukagua Silaha hakuna Shahidi mwingine wa maana atakaye tokea kwenye hii kesi. Naona Sasa Mashahidi wanaokotwa, Muuza Mbege, Kesho sijui shahidi gani ataletwa.
Umemuona lini anasali?Afu Hangaya anajifanya mswahilina huku anatesa wapinzani wake.
Kwa akili uliyonayo unaweza mweka mama yako bondi barMr DJ, na genge lake ni magaidi Over
Vitu gani hivyo "vinavyoangaliwa" ambavyo havipitii hapo mahakamani na kila mtu akaviona?Huwa mnakenua meno hivi hivi alafu mkipigwa na vitu vizito mnaanza kulia!
Yani mnafurahia hizo porojo za kina kibatala wenzenu kuna vitu wanangalia zaidi ya hizo porojo
Unajichekesha wakati huna akili!Mashetani ni Sacco's Ile yenye mwenyekiti gaidi [emoji23][emoji1787]
Ni ushahidi siyo porojoVitu gani hivyo "vinavyoangaliwa" ambavyo havipitii hapo mahakamani na kila mtu akaviona?
Hujui kuwa wewe huna akili ya kutambua kuwa msingi wa HUKUMU YA HAKI ni kilichoelezwa mahakamani ktk hati ya mashitaka + ushahidi wa mashahidi wenu...??
Sasa kina Kingai wameamua kuingia kwenye vilabu vya mbege ili kutengeneza mashahidi na matokeo yake ndiyo haya, ushahidi wa kimbege mbege tu...!
Itakuwa wale wa karibu zaidi waliogopa huyu wa mbege tamaa zimemjaa akakubali kuingia kichwa kichwa....kwann wamlete mama mbege na si uongozi wa serikali ya mtaa?Serikali Ina Mashahidi Wangapi? Nafikiri na ni sahihi kwamba Baada ya Kingai, Yule msaidizi wa Sabaya na Yule wa Kukagua Silaha hakuna Shahidi mwingine wa maana atakaye tokea kwenye hii kesi. Naona Sasa Mashahidi wanaokotwa, Muuza Mbege, Kesho sijui shahidi gani ataletwa.
Yaan kuna mengi ya kujiuliza sana hadi details za silaha anazijua, mama mbege anajua kuna magazine yenye risasi, anajua madawa ya kulevya yalivyo,1. Watu wawili wote, asiwepo hata mwenye shilingi 100 mfukoni jamani?
2. Maskari wakishazidi wawili utasikia wanaitana kwa majina, afande Suguti, lkn huyu kwenye eneo la tukio anafahamu mmoja tu, Jumanne!!!!
3. Inakuaj muuza mbege ajue upande zinapokaa magazine, au ni mhitimu wa JKT? Hadi namba za Bunduki?
4. Kuna walakini mkubwa sana katika maelezo. Kwa hiyo tuchukue yapi, chukua yote! Chukua yote??? Hapa ni Pep Guardiola anahusika kwenye formation
1. Watu wawili wote, asiwepo hata mwenye shilingi 100 mfukoni jamani?
2. Maskari wakishazidi wawili utasikia wanaitana kwa majina, afande Suguti, lkn huyu kwenye eneo la tukio anafahamu mmoja tu, Jumanne!!!!
3. Inakuaj muuza mbege ajue upande zinapokaa magazine, au ni mhitimu wa JKT? Hadi namba za Bunduki?
4. Kuna walakini mkubwa sana katika maelezo. Kwa hiyo tuchukue yapi, chukua yote! Chukua yote??? Hapa ni Pep Guardiola anahusika kwenye formation
Shahidi ni mjahidin mkatoliki......Tapelileo wafuasi wa Mbowe hamjaroga?
naona shahidi anatiririka kweli, sindano zinaiingia sawasawa!
siku ile mliloga sana hadi shahidi akashindwa kutofautisha kati ya "utalii" na "ugaidi".
M
Wafuasi wa mboe acheni kuloga.shahidi
Dada EstherSerikali Ina Mashahidi Wangapi? Nafikiri na ni sahihi kwamba Baada ya Kingai, Yule msaidizi wa Sabaya na Yule wa Kukagua Silaha hakuna Shahidi mwingine wa maana atakaye tokea kwenye hii kesi. Naona Sasa Mashahidi wanaokotwa, Muuza Mbege, Kesho sijui shahidi gani ataletwa.
Unaona kuna haki itatendeka hapo? Kama bibi ameshatoa hukumu ndo imetoka ivo maana ataogopa kujidhalilisha kutokana na ile interview yake na salim kikekeIlitakiwa akina Kibatala waombe kitambulisho cha NIDA cha huyo dada waoanishe majina, sura na saini yake. Hapo watapata taarifa za kweli pamoja na umri wake aliotaja mahakamani.
'hiyo ni curable errors' ...... KingaiShahidi namba 4 kashamkana shahidi namba 1 ambaye ndiye alikuwa kiongozi wa ukamataji wa watuhumiwa.
Shahidi namba 4 anasema Jumanne ndiye alikuwa kiongozi, wakati shahidi namba 1 alidai yeye ndiye alikuwa kiongozi.
Patamu hapoooo