Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

Tumerudi Rau Madukani tenaa[emoji23]
yeah, ati shahdi alishuhudia Adamoo akiwa anauza kete mtaani ..pamoja na kuwa na kitu kimevimba kiunoni ila hakujua ni kitu gani hadi Police walipokuja kumtia nguvuni kumbe ilikuwa Bunduki.
 
Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo upande wa mashitaka utaleta shahidi mwingine.

Fuatilia hapa kujua kitakachojiri katika mchakato mzima wa kesi hiyo kwa siku ya leo 11/01/2021

==========

Watuhumiwa wote wamekwishawasili katika ukumbi wa mahakama tayari kuanza kwa kesi.

Jaji: Ameingia sasa

Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 inatajwa

Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling'wenya na Freeman Mbowe na wenzake

Wakili wa Serikali, Robert Kidando anatambulisha Jopo lake
1. Pius Hilla
2. Abdallah Chavula,
3. Jenitreza Kitali,
4. Nasorro Katuga,
5. Esther Martin,
6. Ignasi Mwinuka
7. Tulimanywa Majige

Wakili Peter Kibatala anawatambulisha Mawakili Wa Utetezi
1.Jeremiah Mtobesya
2.Michael Mwangasa
3.Seleman Matauka
4.Nashon Nkungu
5.Alex Massaba
6.Michael Lugina
7.Maria Mushi
8.Hadija Aron
9.Dickson Matata
10.Jonathan Mndeme
11.Fredrick Kihwelo
12.John Malya

Jaji: anawait Washitakiwa 1,2,3 na 4 Wanasimama Kuitikia

Wakili wa Serikali: Kwa Upande wetu tuna shahidi Mmoja kwa Leo na tupo tayari Kuendelea Kwa Upande wetu tupo tayari kuendelea

Wakili Peter Kibatala: Tupo tayari na sisi Kuendelea

Wakili wa Serikali: Mmoja anatoka Kwenda Kumuita Shahidi Nje ya Chumba Cha Mahakama Mahakama Ipo Kimya Kidogo

Shahidi anapita ni Mdada Kajitanda Buibui na Kavaa Barakoa Kubwa sana Kumziba Sura,

Jaji: Majina Yako

Shahidi: Anita Varelian Mtali

Jaji: umri Shahidi: 45yrs

Jaji: Kabila

Shahidi: Mchaga

Jaji: Shughuli Zako

Shahidi: Nafanya Biashara

Jaji: Dini yako

Shahidi: R. C

Shahidi: Naapa Mbele ya Mahakama hii Kuwa Ushahidi nitakao toa utakuwa ni kweli, kweli tupu Eeeh Mungu nisaidie

Wakili wa Serikali Robert Kidando: Shahidi Ataongozwa na Wakili Esther Martin

Wakili wa Serikali: Esther Ikumbushe Mahakama Majina yako

Shahidi: Anita Varelian Mtali

Wakili wa Serikali: Unaishi Wapi

Shahidi: Moshi, RAU madukani.

Jaji: Jina lako la Tatu sijalipata Vizuri ni Mtali.?

Shahidi: Mtaro

Wakili wa Serikali: Umeishi kwa Muda gani Rau

Shahidi: Miaka 08

Wakili wa Serikali: Unafanya Shughuli gani

Shahidi: Nafanya Biashara ya Kuuza Mbege

Wakili wa Serikali: Ulianza lini Biashara yako ya Mbege

Shahidi: Miaka 08 ninayo

Wakili wa Serikali: Mbali na Biashara yako ya Mbege una bishara gani Nyingine

Shahidi: Kuna Glocery, Stationary, Banda la Tigo Pesa na Kuna Sehemu ya Kutolea Movie

Wakili wa Serikali: Iambie Mahakama 05 Mwezi 08 2020 ulikuwa wapi

Shahidi: Sehemu yangu ya Biashara, Nikifanya Usafi

Wakili wa Serikali: Saa ngapi

Shahidi: Saa Saba Kasoro

Wakili wa Serikali: Ya Muda gani

Shahidi: Ya Mchana

Wakili wa Serikali : Kabla ya Kufika eneo lako la Biashara ulikuwa umetoka wapi?

Shahidi: Nilikuwa Nimetoka Nyumbani Nikaenda Saloon Kuosha Nywele

Wakili wa Serikali: Na Ulipotoka Saloon kuelekea sehemu yako Kufanya Usafi

Shahidi: Nilikuta Wakaka Watatu walikuwa wamekaa Mbele Yangu walikuwa wanakunywa na Kusajili Laini

Wakili wa Serikali: Walikuwa wanakunywa nini

Shahidi: Walikuwa wanakunywa Bia

Wakili wa Serikali: Hizo laini walikuwa wanasajili wapi

Shahidi: Kuna Vijana wanapitaga Mitaani Kusajili Laini

Wakili wa Serikali: Ukiwa unafanya Usafi kitu gani Kingine ulishuhudia

Shahidi: Kuna wakaka wawili walikuwa wanapitapita wakiongea na simu, Wanaenda wanarudi wakiongea na Simu

Wakili wa Serikali: Hao wanaopita ni tofauti na wale uliposema walikuwa wanakunywa Bia

Shahidi: Hapana ni walewale

Wakili wa Serikali: Kutoka Kwako Unapofanyia Kazi Mpaka Glocery ni Umbali gani

Shahidi: Kama Hatua 10

Wakili wa Serikali: Hapo Katikati sasa, Kati ya Glocery na ulipo, pana kitu gani

Shahidi: Pana uwazi

Wakili wa Serikali: Baada ya Muda kitu gani kilitokea

Shahidi: Wakati wanaongea na Simu Walitokea watu wawili wakaongea kwa sauti kali "Mpo chini ya Ulinzi Mnahusika na Mambo ya Kigaidi, chuchumaa Chini Mikono Juu"

Wakili wa Serikali:
Kitu gani Kingine ulisikia

Shahidi:
Chuchumaa Chini Mnahusika na Mambo ya Kigaidi Wakili wa Serikali: Ni watu gani sasa hao

Shahidi: Ni Askari

Wakili wa Serikali: Ulikuwa unafanya nini wakati huo

Shahidi:
Nafanya Usafi

Wakili wa Serikali: Pana umbali gani kutoka Walipo na Mpaka Ulipokuwa unafanya Usafi

Shahidi: Hatua 05

Wakili wa Serikali: Ulisikia nini Kingine

Shahidi: Sikusikia Kingine zaidi ya Chuchumaa Chini Nyoosha Mikono Juu
Leo mbege mpyaa toka Rau aisee, leta mbege Anita.
 
Wakili wa Serikali: Kitu gani Kingine ulisikia

Shahidi: Chuchumaa Chini Mnahusika na Mambo ya Kigaidi Wakili wa Serikali: Ni watu gani sasa hao

Shahidi: Ni Askari

Wakili wa Serikali: Ulikuwa unafanya nini wakati huo

Shahidi: Nafanya Usafi

Wakili wa Serikali: Pana umbali gani kutoka Walipo na Mpaka Ulipokuwa unafanya Usafi

Shahidi: Hatua 05

Wakili wa Serikali: Ulisikia nini Kingine

Shahidi: Sikusikia Kingine zaidi ya Chuchumaa Chini Nyoosha Mikono Juu

Wakili wa Serikali:
Walikuwa Askari wangapi

Shahidi:
Wawili

Wakili wa Serikali: Hali ya Pale ilikuwaje

Shahidi: Ilikuwa ni Utulivu

Wakili wa Serikali: Nini Kilifuata

Shahidi:
Walitokea Askari Wengine watatu wakawa wamefika eneo la Tukio

Wakili wa Serikali:
Ongeza Sauti

Wakili wa Serikali:
Kitu gani Kiliendelea

Shahidi: Baada ya Kuwa Askari watano alitokea Mmoja akaniambia anaomba nisogee anahitaji Kuwafanyia Upekuzi

Wakili wa Serikali:
Ni Askari gani huyo

Shahidi: Alinitambulisha anaitwa Askari Polisi Jumanne
Aisee mbege ya leo ni tamu, kesi ya ugaidi ilifunguliwa Rau madukani na polisi! Nilisema leo mbege mpya.
 
Kwa niaba ya umma mpana wa watanzania, nami najiunga kusikiliza kesi hii yenye manufaa mapana kwa umma.

.................................................................

N.B kulikuwapo kesi ndogo ndani ya kubwa ya Ugaidi namba 16 / 2021 ambayo hata hivyo ilitolewa uamuzi na Mh. Jaji Siyani.

Toka maktaba :

17 September 2021

KILICHOENDELEA LEO KESI NDOGO YA MBOWE 16/ 2021, MAMBO MAZITO YAIBUKA,MASHAHIDI WATOFAUTIANA USHAHIDI

Kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi kesi namba 16/2021 ya Uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA,Freeman Mbowe na wenzake leo yasikilizwa

Wakili Peter Madeleka Achambua Kilichoendelea Leo Mahakamani Katika Kesi Ya Mwenyekiti Wa Chadema Freeman Mbowe, Mambo Mazito Yaibuka,mashahidi Watofautiana Ushahidi
  • Movement order (amri / ruhusa ya kuondoka) haikuwepo kwa ASP Mahita kuruhusiwa kuondoka kituo chake cha kazi, hivyo alichofanya ASP ni cha kienyeji hakutumwa na Polisi wala ofisa mkubwa aliye na nyota zaidi ya tatu ktk kushughulika na kesi ya tuhuma za kigaidi. ASP Mahita angekuwa anafanya kazi rasmi angetumia movement order kuripoti kila mkoa aliokuwa anapita yaani Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Dar es Salaam
  • Watuhumiwa kupelekwa kituo kidogo cha Mbweni badala ya vituo vingine vikubwa vya polisi Dsm
  • Kwenda kituo cha Mbweni ilikuwa kwa sababu zingine zisizo za kiusalama
  • Chakula kwa watuhumiwa je walipewa au la
  • Kupokelewa kwa maelezo ya watuhumiwa chini ya onyo
  • Ushahidi wa mamalishe
  • Tumkumbuke hii ni hatua ya kesi ndogo ndani ya kesi kubwa ( a trial within a trial)
 
Back
Top Bottom