Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

Tumerudi Rau Madukani tenaa[emoji23]
yeah, ati shahdi alishuhudia Adamoo akiwa anauza kete mtaani ..pamoja na kuwa na kitu kimevimba kiunoni ila hakujua ni kitu gani hadi Police walipokuja kumtia nguvuni kumbe ilikuwa Bunduki.
 
Leo mbege mpyaa toka Rau aisee, leta mbege Anita.
 
Aisee mbege ya leo ni tamu, kesi ya ugaidi ilifunguliwa Rau madukani na polisi! Nilisema leo mbege mpya.
 
Kwa niaba ya umma mpana wa watanzania, nami najiunga kusikiliza kesi hii yenye manufaa mapana kwa umma.



.................................................................

N.B kulikuwapo kesi ndogo ndani ya kubwa ya Ugaidi namba 16 / 2021 ambayo hata hivyo ilitolewa uamuzi na Mh. Jaji Siyani.

Toka maktaba :

17 September 2021

KILICHOENDELEA LEO KESI NDOGO YA MBOWE 16/ 2021, MAMBO MAZITO YAIBUKA,MASHAHIDI WATOFAUTIANA USHAHIDI

Kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi kesi namba 16/2021 ya Uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA,Freeman Mbowe na wenzake leo yasikilizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…